😂😂😂😂😂Huyo mwenezi naye alikuwa na ziara hapo Wasafi FM? hiv hizi akili za kipumbavu mnazitoa wapi?
nchi ina wapumbavu sana moja wapo mleta maada, yaani unajiona umejrnga bonge la joja kumbe ni full ujinga mtupu
Tuko JF, wasilisha habari Kwa weledi ni nini kimetokea?Nenda Tweeter (x) uone watu wanavyolalamika kuharibu muda wao. Everybody was tuned to listen to Antipas Tundu Lisu
Hii inahusiana vipi na mada iliyopo?Wasafi wana haki ya ku cancel hiyo Interview kama walivyokuwa na haki ya kufanya hiyo Interview.Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko pamba
Nenda Tweeter (x) uone watu wanavyolalamika kuharibu muda wao. Everybody was tuned to listen to Antipas Tundu Lisu
Wa siasa za bongohuyo ni messi
Labda kwa lazima, ila sio kwa ridhaa Yao. Hakuna wa kupenda Chama Cha hivyo, labda wanaofaidika na wizi wake.Ndio hivyo hata Kwa lazima wataipenda na nyie mtaendelea kulalamika
Tulia we bichwa boxKwani si afungue redio yake chama kinapokea ruzuku si mfungue yenu alale hapo hapo wala hatojibiwa!
Kabisa.Wameingia cha kike, hawamjui Lissu. Saafi kabisa
Hii inahusiana vipi na mada iliyopo?Wasafi wana haki ya ku cancel hiyo Interview kama walivyokuwa na haki ya kufanya hiyo Interview.
Yawezekana alizi-cancell baadhi ya ratiba zake kutokana na mwaliko wa kipindi,hivyo kwa leo ratiba zake unakuta zimevurugika,yaani ratiba yake imemfanya yeye kuathirika.sasa analalamika nini kama ana ratiba nyingi 🤣
sasa si ndio amepata muda mwingi kupumzika na kujiandaa na hizo ratiba nyingine nyingi 🤣
Halafu sasa sia aende kwenye izo ratiba nyingine nyingi alizonazo 🤣🤣
Mbona Wananchi wanamiminika Kwa Makonda kutoa kero zao? Kwa nini wasimiminike huko Chadema?Labda kwa lazima, ila sio kwa ridhaa Yao. Hakuna wa kupenda Chama Cha hivyo, labda wanaofaidika na wizi wake.
Je hiyo ndiyo sababu waliyoiweka publicly?
We ukiskia mkeo anabanduliwa utaacha kwenda huko ulipoambiwa?Kwa maneno yako hayo ndio unaona umepata haki?
Sasa mtu ashaambiwa , Mzee Interview hamna, yeye anaamua kwenda kuvamia na kugoma kuondoka, hiyo ni nini kama sio kiashiria cha ubabe.
Ndio, Ubabe ni Udikteta.
Sasa kama hawana hiyo haki si mlazimishe basi ahojiwe.Hicho ni kituo binafsi kinachomilikiwa na mtu binafsi.Anachodai Lisu ni kwanini Interview imekuwa cancelled.Apewe maelezo tu aondoke zake.Bwahaaaa, bwahaaaaa, eti wana haki ya kucancel, hiyo haki waliijua baada ya muda gani? Na walipomualika hawakuwa wanaijua hiyo haki? Ila Leo nina raha ya hatari, pale majizi yanapoamua kuharibu biashahara za wanaume kwa kuhofia upotoshaji wao kuwekwa vizuri.