Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Nenda Tweeter (x) uone watu wanavyolalamika kuharibu muda wao. Everybody was tuned to listen to Antipas Tundu Lisu
 
Huyo mwenezi naye alikuwa na ziara hapo Wasafi FM? hiv hizi akili za kipumbavu mnazitoa wapi?
nchi ina wapumbavu sana moja wapo mleta maada, yaani unajiona umejrnga bonge la joja kumbe ni full ujinga mtupu
😂😂😂😂😂

Pole kwa kupanic kulikotukuka
 
Hii inahusiana vipi na mada iliyopo?Wasafi wana haki ya ku cancel hiyo Interview kama walivyokuwa na haki ya kufanya hiyo Interview.

Bwahaaaa, bwahaaaaa, eti wana haki ya kucancel, hiyo haki waliijua baada ya muda gani? Na walipomualika hawakuwa wanaijua hiyo haki? Ila Leo nina raha ya hatari, pale majizi yanapoamua kuharibu biashahara za wanaume kwa kuhofia upotoshaji wao kuwekwa vizuri.
 
sasa analalamika nini kama ana ratiba nyingi 🤣

sasa si ndio amepata muda mwingi kupumzika na kujiandaa na hizo ratiba nyingine nyingi 🤣

Halafu sasa sia aende kwenye izo ratiba nyingine nyingi alizonazo 🤣🤣
Yawezekana alizi-cancell baadhi ya ratiba zake kutokana na mwaliko wa kipindi,hivyo kwa leo ratiba zake unakuta zimevurugika,yaani ratiba yake imemfanya yeye kuathirika.
 
Labda kwa lazima, ila sio kwa ridhaa Yao. Hakuna wa kupenda Chama Cha hivyo, labda wanaofaidika na wizi wake.
Mbona Wananchi wanamiminika Kwa Makonda kutoa kero zao? Kwa nini wasimiminike huko Chadema?
 
Bwahaaaa, bwahaaaaa, eti wana haki ya kucancel, hiyo haki waliijua baada ya muda gani? Na walipomualika hawakuwa wanaijua hiyo haki? Ila Leo nina raha ya hatari, pale majizi yanapoamua kuharibu biashahara za wanaume kwa kuhofia upotoshaji wao kuwekwa vizuri.
Sasa kama hawana hiyo haki si mlazimishe basi ahojiwe.Hicho ni kituo binafsi kinachomilikiwa na mtu binafsi.Anachodai Lisu ni kwanini Interview imekuwa cancelled.Apewe maelezo tu aondoke zake.
 
Back
Top Bottom