Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Dunia inakwenda kasi sanaa.
Yaani Lissu anawabembeleza waajiriwa wa Diamond wamhoji!
Kwa nini Chadema wasiwe na TV yao kama ilivyo kwa CCM na channel 10 yao?
Wanajua kupiga tu ruzuku lakini maendeleo ya chama ni bure kabisaa. Ovyo sana hawa manyumbu.
Hayo mabilioni wanashindwa kwa na TV kweli? Kweli?
Nimechukia sanaaa
 
Reactions: Tui
Siasa za Mjinga ni CHUKI Facts za Lissu kwanini wasiz8jibu kwa Facts?
wew ukiona facts na mimi nikiona ni upotoshaji tu,

mihemko na maporomoko ya mitusi huwa inatoka wap πŸ’
 
Huna akili, hawa wamedesturb mpaka ratiba za Watanzania jinga wewe.


 
Ona akili yake ilivyo mbaya. Kwani ni nguvu kuhojiwa? Wamebadilisha offer kukuhoji ukitaka dai muda na nauli kuja studio kuleta fujo. Yes kuleta fujo maana walikupigia simu kwamba mahojiano hayatakuepo[emoji1787][emoji23]
Lissu siyo mlalahoi kama kapuku wewe, ana ratiba zake so mpaka kukubali mwaliko wa wasafi alivunja ratiba zake kwahiyo siyo kitahisi namna hiyo kuahirisha mahojiano bila kumpa sababu za msingi. Wasafi, Clouds na media kibao za kitanzania wanapaswa kujifunza namna ya kuendesha taasisi zao kitaalamu kama wenzetu (Kenya)
 
Wewe NI mpumbavu, hili siyo tusi hii NI sifa yako.
umepanic 🀣
unaelekea kuyaporomosha tena 🀣🀣

hakuna tusi mahali ispokua nimehojohi tu ikiwa wewe unaona jambo fulani kwa sura ya kushoto nami nikaliona jambo hilo hilo kwa sura ya kulia mihemko na maporomoko ya mitusi huwa inatoka wap πŸ’
 
🀣 Ndio Tatizo la kua na ratiba moja tu siku mzima 🀣


Hakuna alternative kabisa
 
Naseeb mnafiki sana,Tundu hawezi kufanya interview pale Wasafi,ile ni redio ya kusifu na kuabudu!
Kampeni za uchaguzi zimekaribia,mnataka Naseeb akose tenda ya kukiimbia chama twawala?
Wasafi ni moja media ambazo zinafuatilia ziara ya DAB kupitia ripota wao Zungu!
 
Chadem

Chadema si waanzishe radio yao,waache kutafuna ruzuku
Akili zako ni ndogo sana.kwahiyo wakuwa na radio yao ndio hawatakiwi kualikwa na vyombo vingine vya habari.Ficha ujinga wako hauna faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…