Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

huo ni ufukunyuku 🤣

mbona mlimuita fisadi na ndio akawa mgombea urais wenu šŸ’
Kuitana Majina sio "Matusi" lakini kuzitisha Media zisimualike Tundu Lissu ni Ujinga wa hali ya juu kabisa.
 
Kupitia habari hizi pamoja na ziara za mwenezi CCM bwana MAKONDA, kwa mwenye upeo wa kuona ataona kabisa SHETANI wa Tanzania ana nguvu sana kuliko MUNGU wa Tanzania šŸ‡¹šŸ‡æ .
 
CCM imeacha kuwa Chama cha Siasa imekuwa Kikundi cha Mafia.

Kuzitisha MEDIA kunathibitisha hilo.
 
Ndio ajiangalie ,mie namjua na niliwahi kumwambia hiyo kweli yake iko siku hatoamini ...
Hando alipaswa kupumzika katoka kufiwa sasa anahitisha interview bila kuwajuaza wenye radio…hahaha lazima aishie kufungiwa au kusimamishwa kazi..kiufupi ana gundu
 
huyu jamaa ni hatari, jamaa wako sahihi kumkazia maana angewachana balaa na mapambio yote yangeonekana upumbavu

nawaunga mkono ccm, bora nusu shari,kuliko shari kamili la huyu bwana
 
Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Na mbaya anafanyia harakati kwenye chombo cha mwanaume mwenzie…EFM walimsimamisha kwa mihemko kama hii hivi mnaandaje kipindi bila kuwambia wenye chombo?
 
Hando alipaswa kupumzika katoka kufiwa sasa anahitisha interview bila kuwajuaza wenye radio…hahaha lazima aishie kufungiwa au kusimamishwa kazi..kiufupi ana gundu
Hando tatizo lake anajifanya ana akili sana na mtu wa kukurupuka ..akitegwq kdg anajaa
 
Back
Top Bottom