imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kuitana Majina sio "Matusi" lakini kuzitisha Media zisimualike Tundu Lissu ni Ujinga wa hali ya juu kabisa.huo ni ufukunyuku š¤£
mbona mlimuita fisadi na ndio akawa mgombea urais wenu š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuitana Majina sio "Matusi" lakini kuzitisha Media zisimualike Tundu Lissu ni Ujinga wa hali ya juu kabisa.huo ni ufukunyuku š¤£
mbona mlimuita fisadi na ndio akawa mgombea urais wenu š
Lissu the notorious ass kickerNafungua Online TV na Mtu wa kwanza kumualika ni Tundu Lissu "kiboko yao"š«”
Hamung'unyi manenošLissu the notorious ass kicker
Baadae tena magufuli akaja kumpokea kwa sherehe kubwa aliporudi ccmhuo ni ufukunyuku š¤£
mbona mlimuita fisadi na ndio akawa mgombea urais wenu š
Yaani unamfundisha aige ujinga wa Bashite?Kabadilishe cheti chako cha kuzaliwa na ndoa kiwe kwenye jina lako
Hando alipaswa kupumzika katoka kufiwa sasa anahitisha interview bila kuwajuaza wenye radioā¦hahaha lazima aishie kufungiwa au kusimamishwa kazi..kiufupi ana gunduNdio ajiangalie ,mie namjua na niliwahi kumwambia hiyo kweli yake iko siku hatoamini ...
Na mbaya anafanyia harakati kwenye chombo cha mwanaume mwenzieā¦EFM walimsimamisha kwa mihemko kama hii hivi mnaandaje kipindi bila kuwambia wenye chombo?Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Hando tatizo lake anajifanya ana akili sana na mtu wa kukurupuka ..akitegwq kdg anajaaHando alipaswa kupumzika katoka kufiwa sasa anahitisha interview bila kuwajuaza wenye radioā¦hahaha lazima aishie kufungiwa au kusimamishwa kazi..kiufupi ana gundu
Kwa MJINGA atamuona Tundu Lissu ni HATARI lakini kwa sisi WAZALENDO Lissu ni HOPE kuwa kumbe Wabongo wote sio MAZEZETA wa kudanganywa kirahisi.huyu jamaa ni hatari
Mlisema wamekatazwa vipi tena nyie Punda?
View: https://twitter.com/clickHabari/status/1755141018964336921?t=k06mHdM-v4SWyhaMwMr1BQ&s=19
Mahakamani mnaenda lini? š¤£š¤£š¤£