Kuitana Majina sio "Matusi" lakini kuzitisha Media zisimualike Tundu Lissu ni Ujinga wa hali ya juu kabisa.huo ni ufukunyuku 🤣
mbona mlimuita fisadi na ndio akawa mgombea urais wenu 🐒
Lissu the notorious ass kickerNafungua Online TV na Mtu wa kwanza kumualika ni Tundu Lissu "kiboko yao"🫡
Hamung'unyi maneno😁Lissu the notorious ass kicker
Ni mgombea urais kwa ticket ya cdm 2020, kisha akoporwa kura zake na dhalimu Magufuli.
Baadae tena magufuli akaja kumpokea kwa sherehe kubwa aliporudi ccmhuo ni ufukunyuku 🤣
mbona mlimuita fisadi na ndio akawa mgombea urais wenu 🐒
Yaani unamfundisha aige ujinga wa Bashite?Kabadilishe cheti chako cha kuzaliwa na ndoa kiwe kwenye jina lako
mtu akiwa kichaa siyo lazima avue nguo. Hicho ni chombo chake? Kibaraka huyo lofa
Hando alipaswa kupumzika katoka kufiwa sasa anahitisha interview bila kuwajuaza wenye radio…hahaha lazima aishie kufungiwa au kusimamishwa kazi..kiufupi ana gunduNdio ajiangalie ,mie namjua na niliwahi kumwambia hiyo kweli yake iko siku hatoamini ...
Na mbaya anafanyia harakati kwenye chombo cha mwanaume mwenzie…EFM walimsimamisha kwa mihemko kama hii hivi mnaandaje kipindi bila kuwambia wenye chombo?Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Hando tatizo lake anajifanya ana akili sana na mtu wa kukurupuka ..akitegwq kdg anajaaHando alipaswa kupumzika katoka kufiwa sasa anahitisha interview bila kuwajuaza wenye radio…hahaha lazima aishie kufungiwa au kusimamishwa kazi..kiufupi ana gundu
Kwa MJINGA atamuona Tundu Lissu ni HATARI lakini kwa sisi WAZALENDO Lissu ni HOPE kuwa kumbe Wabongo wote sio MAZEZETA wa kudanganywa kirahisi.huyu jamaa ni hatari
Lissu bhana sasa hao ni viongozi wa wasafi au ni wafanyakazi tuu hao na watapewa barua ya onyo kuandaa kipindi bila kuwajuza wenye tv….Mlisema wamekatazwa vipi tena nyie Punda?
View: https://twitter.com/clickHabari/status/1755141018964336921?t=k06mHdM-v4SWyhaMwMr1BQ&s=19
Mahakamani mnaenda lini? 🤣🤣🤣