Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Kwani lazima mhojiwe? Ndio wanazijua
sababu ganiNdio mualiko umesitishwa na sababu mumepewa sepeni ,mnalazimisha nini labda.
Kama ni kupoteza viewers na followers ungeipambania TBC1 maana hiyo ndio ya ccm, pilipili usiyoila inakuwashia Nini? Hiyo Waswaafi viewers wake ni vijana na sio wazee kama TBC, na vijana wanataka kumsilikiliza Lisu, itapotezaje viewers, na hata ikipoteza kwa ajili ya Lisu shida yako ni Nini, kwani ww ni afisa masoko wa Wasafi?
Huu ujinga wa kuandaa mafuriko fake ndio ulimponza Magufuli, akaamini anakubalika na wapinzani wake wamepotea kisa alitisha vyombo vya habari vikawa vinamtukuza yeye tu. Ilipofika wakati ww kampeni akafanya hila zote, lakini Bado wapinzani walipata nyomi la ukweli, akaishia kupora uchaguzi. Ujinga ule ule naona Bado mnatembea nao. Nasema hivi, acheni kuharibu biashahara za wanaume, kama mmechoka kubalini tu hakuna kinachodumu milele.
wasafi sio manyumbu,Kama ni kupoteza viewers na followers ungeipambania TBC1 maana hiyo ndio ya ccm, pilipili usiyoila inakuwashia Nini? Hiyo Wasafi viewers wake ni vijana na sio wazee kama TBC, na vijana wanataka kumsilikiliza Lisu, itapotezaje viewers, na hata ikipoteza kwa ajili ya Lisu shida yako ni Nini, kwani ww ni afisa masoko wa Wasafi?
Huu ujinga wa kuandaa mafuriko fake ndio ulimponza Magufuli, akaamini anakubalika na wapinzani wake wamepotea kisa alitisha vyombo vya habari vikawa vinamtukuza yeye tu. Ilipofika wakati ww kampeni akafanya hila zote, lakini Bado wapinzani walipata nyomi la ukweli, akaishia kupora uchaguzi. Ujinga ule ule naona Bado mnatembea nao. Nasema hivi, acheni kuharibu biashahara za wanaume, kama mmechoka kubalini tu hakuna kinachodumu milele.
Katiba inakuja.Na ole wako unune!Mbona nyie mnatumia miguu kulazimisha hoja? Maandamano ya kwenda UN yamewapa Katiba?
Kwa hio huko Kenya mfano chama cha Ruto kina media zake, Jubilee ina media yake, ODM ina media yake, akili za kipumbavu hizi, CCM wanafanyia mahojiono kwenye media zao pekee? Mchi ina watu wenyewe uwezi mdogo sana wa kuwaza aisee Mungu saidiaNdio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Na ndio maana nasema ajiangalie..alianza kipindi yuko PB wakamtenga akaondoka..EFM nako akazingua wakamsimamisha...sasa naona amehamishia harakati zake wasafi...ila mie kama ndugu yangu namshauri ajiangalie...Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Vyama vya siasa vyote Dunaini kila Chama kina media yake ya kwenda kuongelea mambo yake? UShauri wa kipumbavu sana huu, nazani unajiita MsomiFungueni tv yenu kazi kula ruzuku na misaada ya mashoga tu.
Siyo Wasafi.Inajulikana wametishiwa(blackmailing & intimidating) ili CCM isiachwe imevaa shanga tupu bila kipande cha nguo kwenye soko la kijiji.wasafi sio manyumbu,
wameasess impact ya iyo interview wakabaini itaharibu image yao wakoaona ni busara kuicancel na kumuarifu muhusika.
Hapo kuna ubaya gani na ni chombo cha habari huru π
By the way maybe wamebaini pia huyo mjamaa hakua anawawakilisha waTz but mabwenyenye yanayomtuma kutoka ng'ambo kwahiyo hakukua na sababu za kumruhu labda walimshauri aende Al Jazeera π€£
Kwa taarifa yako hao wanahabari wengine hawaipendi ccm, lakini inabidi waishi kinafiki tu Ili mkate upatikane. Hata hivyo vyombo vya habari vinataka habari za wapinzani maana ndio zinauzwa ila hawana jinsi, walioko madarakani kwa shuruti hawataki.Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Kumbe karud?
Inakuja lini? Nchi hii hakuna upinzani,hao mnaoita wafuasi wenu ni pale ccm ikizingua ila Makonda akirekwbisha woote wanarudi.Katiba inakuja.Na ole wako unune!
Pale Wasafi ni Kazini?Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Ndio hivyo hata Kwa lazima wataipenda na nyie mtaendelea kulalamikaKwa taarifa yako hao wanahabari wengine hawaipendi ccm, lakini inabidi waishi kinafiki tu Ili mkate upatikane. Hata hivyo vyombo vya habari vinataka habari za wapinzani maana ndio zinauzwa ila hawana jinsi, walioko madarakani kwa shuruti hawataki.
Je hiyo ndiyo sababu waliyoiweka publicly?wasafi sio manyumbu,
wameasess impact ya iyo interview wakabaini itaharibu image yao wakoaona ni busara kuicancel na kumuarifu muhusika.
Hapo kuna ubaya gani na ni chombo cha habari huru π
By the way maybe wamebaini pia huyo mjamaa hakua anawawakilisha waTz but mabwenyenye yanayomtuma kutoka ng'ambo kwahiyo hakukua na sababu za kumruhusu bilashaka walimshauri aende kujaribu Al Jazeera π€£
sasa analalamika nini kama ana ratiba nyingi π€£Ratiba mzee,Lissu ana ratiba my ngi,huwezi kumuandaa kisaikolojia halafu ukaahirisha pasipo kutoa sababu maalum.
Huu ndiyo ukweli wenye uhakika.Baaaaasiii!Kwa taarifa yako hao wanahabari wengine hawaipendi ccm, lakini inabidi waishi kinafiki tu Ili mkate upatikane. Hata hivyo vyombo vya habari vinataka habari za wapinzani maana ndio zinauzwa ila hawana jinsi, walioko madarakani kwa shuruti hawataki.
ofisi nzuri yenyewe hawana .sembuse TV ?Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Lisu anazijuasababu gani