Hata sijui mnashangaa kitu gani hapo, kwangu hata kama mahojiano yangefanyika, naona hizo ni siasa tamu za muda mfupi tu
Diamond = CCM.
Kitenge = CCM.
Hayo mambo ni kuyazoea na kuachana nayo, tazameni njia nyingine zenye maana zaidi na uzito, zenye kuleta mabadiliko kiuhalisia, sio kwa maneno.
Hata Lissu sioni maana kwake kwenda huko kupata maelezo, hao jamaa wanatumiwa na CCM, ndio wanaowapa leseni, lakini pia, mambo mengine ni maamuzi yao kwani kituo ni chao.
Kama wameamua kuhairisha au kufuta, muhimu wamuombe radhi Lissu kwa usumbufu biashara, iishe, sio kila siku tuendelee kushangaa hadaa zile zile za miaka yote, ni ujinga.
Sent from my SM-G900H using
JamiiForums mobile app