Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Jamaa wameamua kuununua ugomvi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kuwachanganya.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Cheyameni amegombea mara nyingi tangu 2005 anapotezamoja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Ndio demokrasia ipo siku atashinda!Cheyameni amegombea mara nyingi tangu 2005 anapoteza
wale majamaa wa cdm ni sufuri + duara=zeroKama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
HahahahaKama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.

Damu ya Thadei Ole Mushi imeshaanza kukudhuru unaweweseka na bado,hizo hela ulizolipwa kumpa sumu hutaishi uzifaidi. Muuaji mkubwa weweKikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
GM , Nairobi Kenya
Ungejidai hata kwa kujilazimisha kuuepuka ujinga ungekuwa kiumbe unayeishi bila unyonge.Badilika.Kikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
GM , Nairobi Kenya
Kikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
GM , Nairobi Kenya
Hiyo sign ndio inatambaa nayo vice-chairman unaiwakilisha vyema!