SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Wewe humjui lisu eh mpeni nchi ndio mtahadithia tofauti yake na wengine unawajua wamefanya yeye humjui kafanya humjui kabisa tuishie hapa.Ni jangili kuliko kinana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe humjui lisu eh mpeni nchi ndio mtahadithia tofauti yake na wengine unawajua wamefanya yeye humjui kafanya humjui kabisa tuishie hapa.Ni jangili kuliko kinana??
Acha kuleta hadithi za kijinga. Shughulikia na waliopo serikalini kwa Sasa. Eti akipewa nchi. Tofautisha nchi na serikaliWewe humjui lisu eh mpeni nchi ndio mtahadithia tofauti yake na wengine unawajua wamefanya yeye humjui kafanya humjui kabisa tuishie hapa.
Utakuwa na akili finyu sana kushindwa kutambua kwamba Lissu ana jina kubwa na limejengwa siku nyingi kushinda hiyo media yako ya upinde. Nasema utakuwa una akili finyu sana kama kweli umeshindwa kuelewa nani anatumia jina la mwenzake.Tundu Lissu baba wa Kitanzania ambaye watoto zake amewatafutia uraia wa Marekani na kuukana Utanzania.
Amekuwa na tabia ya kuishambulia Wasafi kila anapoona haongelewi na watu wamemsahau.
Alishawai kuongoza kampeni ya kumkosesha tuzo Diamond, watu wamchague Burna Boy.
Wakati wa Magufuli alitaka Diamond aimbe kuhusu maugomvi yake na mamlaka yeye uwa aoni wengine ni Wasafi tu.
Kapewa interview ili arudi mjini kaaanza kuropoka maneno ya uongo kuichafua brand.
Ni wakati sasa lissu aache kutumia jina la Wasafi kutafuta kiki au tutaruka nae
Wasafi ni kubwa kuliko hicho chama cha Mbowe
Wewe ndiye unatafuta kiki kupitia jina la Lissu baada ya biashara yako ya kuuza K hapo Sinza kudoda.Tundu Lissu baba wa Kitanzania ambaye watoto zake amewatafutia uraia wa Marekani na kuukana Utanzania.
Amekuwa na tabia ya kuishambulia Wasafi kila anapoona haongelewi na watu wamemsahau.
Alishawai kuongoza kampeni ya kumkosesha tuzo Diamond, watu wamchague Burna Boy.
Wakati wa Magufuli alitaka Diamond aimbe kuhusu maugomvi yake na mamlaka yeye uwa aoni wengine ni Wasafi tu.
Kapewa interview ili arudi mjini kaaanza kuropoka maneno ya uongo kuichafua brand.
Ni wakati sasa lissu aache kutumia jina la Wasafi kutafuta kiki au tutaruka nae
Wasafi ni kubwa kuliko hicho chama cha Mbowe
Aendelee tutamfrahishaKwa kipi wachafu fm wanacho...lissu jina analo toka mama domo anauza tandale
Lissu aende field akapambane na makonda kama ana huo ubavu sio kutafuta kuongelewa kupitia brand za wengineUtakuwa na akili finyu sana kushindwa kutambua kwamba Lissu ana jina kubwa na limejengwa siku nyingi kushinda hiyo media yako ya upinde. Nasema utakuwa una akili finyu sana kama kweli umeshindwa kuelewa nani anatumia jina la mwenzake.
Lissu hakuomba interview walioomba ndio wanatumia jina la Lissu otherwise wangekuita hata wewe tu ukaongelee masuala ya kilimo cha matikiti.
Lissu aende field akapambane na makonda kama ana huo ubavu sio kutafuta kuongelewa kupitia brand za wengine
Nani ampe nchi milembe yuleWewe humjui lisu eh mpeni nchi ndio mtahadithia tofauti yake na wengine unawajua wamefanya yeye humjui kafanya humjui kabisa tuishie hapa.
Kumbe na wewe huwaga unaumia ee. Mkuki kwa nguruwe ni mtamu ila kwa binadamu ni haramu. Insane kabisa
Siasa haipo hivyo, makonda afanye sanaa zake na Lissu atafanya yake kulingana na anavyoona sahihi kwa wakati huo. Hata chadema wamefanya maandamano ila CCM hawajaona haja ya kujibu kwa kufanya maandamano.Lissu aende field akapambane na makonda kama ana huo ubavu sio kutafuta kuongelewa kupitia brand za wengine