Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Wewe humjui lisu eh mpeni nchi ndio mtahadithia tofauti yake na wengine unawajua wamefanya yeye humjui kafanya humjui kabisa tuishie hapa.
Acha kuleta hadithi za kijinga. Shughulikia na waliopo serikalini kwa Sasa. Eti akipewa nchi. Tofautisha nchi na serikali
 
Tundu Lissu baba wa Kitanzania ambaye watoto zake amewatafutia uraia wa Marekani na kuukana Utanzania.

Amekuwa na tabia ya kuishambulia Wasafi kila anapoona haongelewi na watu wamemsahau.

Alishawai kuongoza kampeni ya kumkosesha tuzo Diamond, watu wamchague Burna Boy.

Wakati wa Magufuli alitaka Diamond aimbe kuhusu maugomvi yake na mamlaka yeye uwa aoni wengine ni Wasafi tu.

Kapewa interview ili arudi mjini kaaanza kuropoka maneno ya uongo kuichafua brand.

Ni wakati sasa lissu aache kutumia jina la Wasafi kutafuta kiki au tutaruka nae

Wasafi ni kubwa kuliko hicho chama cha Mbowe
Utakuwa na akili finyu sana kushindwa kutambua kwamba Lissu ana jina kubwa na limejengwa siku nyingi kushinda hiyo media yako ya upinde. Nasema utakuwa una akili finyu sana kama kweli umeshindwa kuelewa nani anatumia jina la mwenzake.

Lissu hakuomba interview walioomba ndio wanatumia jina la Lissu otherwise wangekuita hata wewe tu ukaongelee masuala ya kilimo cha matikiti.
 
Wewe ndiye unatafuta kiki kupitia jina la Lissu baada ya biashara yako ya kuuza K hapo Sinza kudoda.
 
Utakuwa na akili finyu sana kushindwa kutambua kwamba Lissu ana jina kubwa na limejengwa siku nyingi kushinda hiyo media yako ya upinde. Nasema utakuwa una akili finyu sana kama kweli umeshindwa kuelewa nani anatumia jina la mwenzake.

Lissu hakuomba interview walioomba ndio wanatumia jina la Lissu otherwise wangekuita hata wewe tu ukaongelee masuala ya kilimo cha matikiti.
Lissu aende field akapambane na makonda kama ana huo ubavu sio kutafuta kuongelewa kupitia brand za wengine
 
Apambane na Makonda kwa lipi?. Wakati Makonda anaisaidia CHADEMA kuivua serikali nguo?
 
Lissu aende field akapambane na makonda kama ana huo ubavu sio kutafuta kuongelewa kupitia brand za wengine
Siasa haipo hivyo, makonda afanye sanaa zake na Lissu atafanya yake kulingana na anavyoona sahihi kwa wakati huo. Hata chadema wamefanya maandamano ila CCM hawajaona haja ya kujibu kwa kufanya maandamano.

Unaelewa kabisa uwezo wa Lissu ukimuweka jukwaa moja na huyo bashite. Bashite anaongea sanaa hawezi hata kidogo na hatothubutu kukaa jukwaa moja na Lissu.

Muulize Wilson Masilingi alipojichanganya kufanya mdahalo na Lissu aliishia kupaniki na akakimbia mdahalo.
 
Back
Top Bottom