Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ukarimu, upole na ukali
 
Mimi ni mtu ambaye naonekana mtulivu, nisiye na maneno mengi, hasa ninapokuwa na watu nisiowajua au tunajuana kidogo,

wEngine hudhani muda sii mrefu nitakuwa baba paroko hapo Mango,

Kitu ambacho hudhani mm sio mtu wa pombe wala wanawake,

Juzi nilikuwa sehemu nikawa na jamaa zangu hawakuamini nakata maji mara tano kwa haraka huku wakiduwaa,

Iko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ