Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Na member wengi sana wa jf ni ma introvertNina aibu Kwa mtu nsiemzoea,sio muongeaji sana Kwa mtu mtu nsiemjua mpaka nikujue.nina sifa ya ukimya
Mpole kupitiliza ila ukiniudhi navumilia nikifika ukomo moto unawaka😊
Sipendi kukaa na watu wengi,nafutahia zaidi kuwa na watu wachache au mwenyewe tu.
Kwa kifupi Nina sifa 99,% za kuitwa introvert
Hahaha sio kweli japo mimi sio mpole kama wengi mnavyojinadi humu 🤣Wee Mlevi seems una kaukorofi fulani hivi 😁
Hiv kumbe kuna mbinguni??Watu wa pombe mbinguni moja kwa moja
Unaonekana tu na ndo kaukorofi fulani kenyewe nakosemea hako!Hahaha sio kweli japo mimi sio mpole kama wengi mnavyojinadi humu 🤣
Ipo bwashee sasa jichanganye tu🤣Hiv kumbe kuna mbinguni??
Ephen ananijua kuwa sipo hivyo labda useme mlevi mbahili tuUnaonekana tu na ndo kaukorofi fulani kenyewe nakosemea hako!
Kaukorofi- utata.
Sasa mbona unanichanganya mkuu? Mi nilisha ghairi kuwa hakuna Sir God sasa mbinguni tena???Ipo bwashee sasa jichanganye tu🤣
Hahahaaa yupi huyo em kumbukaKuna yule mtusi mmoja nimesha sahau tena I'd yake😅 yule nae kiboko
Hii kweli kabisaNapenda ugomvi kuliko kula.
Utajua haujui za kuambiwa changanya na zako🤣 mbinguni mimi nipo sekta ya kugawa pombeSasa mbona unanichanganya mkuu? Mi nilisha ghairi kuwa hakuna Sir God sasa mbinguni tena???
Yessssssss kapeece🤣Hahahaaa yupi huyo em kumbuka
ChaiHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Dr, wewe ni komedian mzuri na hapo kuna pesa zako nyingi sana kama utalegeza ubongo🤔Mimi ni mpole kwa asili ila najilazimisha kuwa muongeaji ili kupunguza mambo kichwanj
Ewaaaaaaaaaahhh!!!! Unanikumbusha mbali sanaa.Yessssssss kapeece🤣
Nimepatia eeeee , karibu pombe hapa najua unatumia😅 ila usiniulize nimejua vipi🤣Ewaaaaaaaaaahhh!!!! Unanikumbusha mbali sanaa.