Wewe ni melancholy au sanguineHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Ooh. Walau nimekuelewa sasa 🤣🤣Upande wa kujua kuwa kolowizad ni vibonde wa mwiko nyuma
Hahaha madam ile siku ya game nikukosea ujue ila najua wewe mzungu😊😚😚Ooh. Walau nimekuelewa sasa 🤣🤣
Umeniele2a wapi wee sema umefurahii kuwa kolowizard ni mdebwedo mnabonyeza kizenji.Ooh. Walau nimekuelewa sasa 🤣🤣
Hahahaaa. Sa we umekuja kwa style hiyo na mimi si imebidi nikupokee hivyo hivyo we Mzab. 🤣🤣Umeniele2a wapi wee sema umefurahii kuwa kolowizard ni mdebwedo mnabonyeza kizenji.
Ebana eeh, nasikia eti chama mnamuacha sasa vipi tena kiwango kimeshuka au mmemuuza?
Na vipi lomalisa mlishapata mbadala wake au ndio turaendelea kuona mbio nyingi akili kisoda
Haya bwana ila tambua waongea na genius hapa.Hahahaaa. Sa we umekuja kwa style hiyo na mimi si imebidi nikupokee hivyo hivyo we Mzab. 🤣🤣
Hahahaaa. Ila Mzab bwana.Haya bwana ila tambua waongea na genius hapa.
Huyo ndio mpenzio....kumbe mwananchi una mpenzi 🤣🤣🤣🤣Hahahaaa. Ila Mzab bwana.
Genius mwenzio ni huyu Mwasibu na ametulia zake tu huko alipo. 🤣🤣
cc. Kipenzi Changu.
Niambie baba Mchungaji.
Hahahaaa. Mzab hivyo we ndio genius? 😅Huyo ndio mpenzio....kumbe mwananchi una mpenzi 🤣🤣🤣🤣
Wee sii umeona nimeng'amua code hapo kuwa huyu ndio ur sweet honey🤣🤣🤣🤣. Haya wacha na mie niende kucheza mpira wa maveterani.Hahahaaa. Mzab hivyo we ndio genius? 😅
Ngoja nikacheke ntarudi. 🤣🤣
Hahahaaa. Kalaghabao. 🤣🤣Wee sii umeona nimeng'amua code hapo kuwa huyu ndio ur sweet honey🤣🤣🤣🤣. Haya wacha na mie niende kucheza mpira wa maveterani.
Karibu na wewe uguseguse mpira. Mazoezi kwa afya muhimu
Iko hivyo utakuwa ana kandamizwa tuUpole unatufanya baadhi ya watu watupande kichwani
Ebu njoo PM kwanza chapNiambie baba Mchungaji.
Kmmk 😁😁Mimi ni genius, basi tuu watu hawanielewi