Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Hahaha!
Maisha ndo haya haya mkuu, fanya kikupacho furaha.
๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚

Basi ni vyema ungejipiga misupu ya kutosha, mwili upigwe maji ya kutosha, ukiamka upo vyedi kabisa.
Nimekula samaki mbichi madam ๐Ÿ˜… nyama ya ng'ombe au mbuzi situmii kabisa
 
Upole lakini msimu wa kilimo Mimi deep life yangu kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ