Hapa mbona kama unanijua🤣Nina aibu Kwa mtu nsiemzoea,sio muongeaji sana Kwa mtu mtu nsiemjua mpaka nikujue.nina sifa ya ukimya
Mpole kupitiliza ila ukiniudhi navumilia nikifika ukomo moto unawaka😊
Sipendi kukaa na watu wengi,nafutahia zaidi kuwa na watu wachache au mwenyewe tu.
Kwa kifupi Nina sifa 99,% za kuitwa introvert
Punguza uoga kwani utakamatiwa wapi hata ukila...Leo gas imeisha nakula nauli na ya gas 😂😂😂
Utanifukuzia na pikipiki ya ssh 😂😂😂Punguza uoga kwani utakamatiwa wapi hata ukila...
Ingawa sisi siyo Milima tutakutana, sisi people kitaumana...
Mungu akusaidie hilo liroho la pombe likutokeMimi ni mlevi wa pombe tu .
Unasema je
Ni hivi huwezi kugombania daladala faster tu kukukamatia...Utanifukuzia na pikipiki ya ssh 😂😂😂
Kwamba una amini kabisa😁Unasema je
Kwann nisiamini wakati umeandika mwenyewe na nikauli yako unayoitoaga humuKwamba una amini kabisa😁
Nimwage sifa zako zinazoelezea personalty yako au mambo yako nikuachie mwenyewe...Utanifukuzia na pikipiki ya ssh 😂😂😂
Hahahaha sawa , hanang tunaenda lini?Kwann nisiamini wakati umeandika mwenyewe na nikauli yako unayoitoaga humu
Mambo yangu niachiwe mwenyeweNimwage sifa zako zinazoelezea personalty yako au mambo yako nikuachie mwenyewe...
Mambo yako ni yangu, mambo yangu ni yangu wenyewe...Mambo yangu niachiwe mwenyewe
Ili ubiringike woi sina nguvu za kukubebaHahahaha sawa , hanang tunaenda lini?
Naacha mama 😁Ili ubiringike woi sina nguvu za kukubeba
Acha pombe kwanza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wew auNaacha mama 😁
Ndio🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wew au