Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Huna aibu wewe. Kwenye uzi wangu niliotaka ushauri kuhusu mpenzi wangu uli-comment ovyo sana.
Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana
 
Mimi ni Mkimya kitu ambacho hupelekea kuitwa Mpole. Naweza kubali kwa upande mmoja kuwa ni mpole sababu nina uwezo mkubwa sana wa kuhimili uchokozi na nikaupuuza ila nikishasema hii yatosha, ugomvi wake huwa ni shughuli kuamuliwa.
 
😂😂 Kweli wewe ni mcheshi mkuu.
Sio Kwa hii post🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…