ndiyoπ π haa!
Dah π huo uchokozi sasaKijana Masikini anamjua wana uhusiano wa karibu!
Tanga moya πUnawajua wadigo, basi mimi ni mmoja waoπ
Kingine wewe ni keyboard warrior.Hey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Sawa sawandiyo
Inaonekana pombe imeshakuwa damu damu na damu yako.Mimi ni mlevi wa pombe tu .
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Kabisa πTanga moya π
Haiishi hadi iishe siyo?Mbishi apaπ
Psychologically watu wenye hasira kama wewe wanakuwa na insecurity.Hasira sipendi ujinga na dharau za rejareja,
Kwenye keyboard ni mcheshi Kiasili ni mpole ila ukitaka kunipanda kichwani natoa maneno makali ya kuumiza mnooo
Cc Smart911
haha nilisahau kutaja me mkorofi...Dah huo uchokozi sasa
Mno yani siwezi ishi bila pombeInaonekana pombe imeshakuwa damu damu na damu yako.
SafiKabisa π
Kimtindo. Watu wabaya wamenifunzaπ kwahiyo sahii ushajifunza Roho mbaya
π π π usimalize huruma yote itunze nina matumizi nayoKimtindo. Watu wabaya wamenifunza
Maringo na kujisikiaHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu