Dah wamatumbi bhana kwa hiyo nyinyi ndo mna hizo info ambazo CIA hawanaMkuu media zinapotosha sana ndio mana unaona hata journalists wanakuwa blocked ku acces Israel ila infact Iran amesha amua liwalo na Liwe tu tena uyu atakuwa na Major player behind the scene yeye anatumika kama Catalyst tu, The World war inanukia sana sana Kuna dola inataka Kudondoshwa ile wa emerge wababe wengine
Kama wewe unavyowapenda kobazUnawapenda Israel kwa mahaba mazito sana
US ata awe na base 10000 hawezi kwenda vitani peke yake everAjichimbie kaburi mara ngapi Mkuu, Taifa gani litang'ang'ana kupambana na USA yenye militaries bases zaidi ya 600 duniani?
Kukosa hekima ndiyo kaburi lenyewe sasa hata kama una akili na mali kiasi gani duniani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Umesahau kunywa dawa zako..!!Israel bila marekani hata Tanzania tunawachapa kirahisi mno
Amwache mama yetu ambaye kapaisha uchumi kuzidi nchi za mamtoni.min -me 🤣 ni mnafiki sana🤣, anamtaja mama wa watu eti ndio shujaa atatulinda dhidi ya makombora ya iran
Kufa kizembe ni ushujaa au upumbavu?US ata awe na base 10000 hawezi kwenda vitani peke yake ever
Anaota huyo, huko sio huku wanakovunja matofali tisa December 😹😹Kwa silaha gan tulizonazo 😂😂😂😂😂
Wamepiga wapi sasa?Ila irani ni wanaume wallah sikutegemea kama wangexipiga kambi za marekani
Aliambiwa yupo kwenye shabaha yeye analeta mizaha na jazba..View attachment 3380556
Iran asitusanifu.
Bases takribani 22 zote hizo azimudu na bado aendelee kupigana na Israel.
Iran itakeguka majivu mda si mrefu.
Marekani lazima atajibu tu.
Yamekuwa interceptedYamefika au yamerushwa tu
Yote wameyatungua hakuna hata moja lililiofikia targetBase zingine dhaifu,ya iraq wajeda wamekimbilia shelters kama wayahudi, wakati qatar yametunguliwa matatu matatu yametua
kwenye vita kujiriushia makombora huwa inatokea lakini huja kusemekana ni bahati mbaya bomu limelenga kimakosaMkuu Mimi ningekuwa mrushaji wa hayo makombora kwa akili yangu mengine ningeyarusha kwenye makazi ya watu makusudi ili niwaue nifurahi.
Yale yale ya yule Mama aliyekuwa anajiaminisha kuwa kwa nguvu za Allah kamwe mabonu hayawezi kuwafikia akiwa kwenye Televisheni ya matangazo, hajamaliza hata alichokuwa anaongelea likatua bomu pale pale, alichukua haraka pikipiki na kukimbia papo hapo.Hanaanzaga hivi hivi, uku wanaendelea kusema Mungu ni mkubwa Mungu ni mkubwa mara paa... Dunia haina mahali pa kwenda kumdungua mr devil 👿 kwa mawe. Yeye 👿 atakuwa anacheeeka!
Israel hawezi peke yake,na hizbullah tu alikua analilia misaada ya silahaBasi tu US ana shobo ila tulitaka hili battle liwe Iran vs Israel…