Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Vita imeisha ndugu kobazi. Pole kwa msiba. Atakayerithi akileta ujuaji na yeye anapelekewa moto
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kaa kwa kutulia mkuu

Utapata majibu yako…… ni swala la Muda tu

Vita now days zinapiganwa kwa AKILI kubwa
 
Dalili ni nyingi hakuondoka kwake, pili alisha weka mrithi wake mwenye kuogopa kufa ni Netanyahu na Trump sio Ayatollah Ali Khomen

We kale nguruwe subiri uone Tela Aviv inavyo vurugwa
Hivi we jamaa ni kichwa kibuyu au pimbi??? Yani Ayatollah ameuawa na Israel unasema ameweka mrithi?? Na unaamini mrithi wake ataingia madarakani?? Shit?? Mrithi wa nini?? Hapa kinachofuata ni Irani kupigwa sehemu zote zenye program za nyuklia inapigwa na kuangamizwa kabisa then Full control inakua chini ya Israel na USA wanaweka viongovi wao watakao fuata sera na masharti ya USA na Israel mtoa roho..
 
Katika Mataifa ya Kiislamu ninayoyakubali Iran namba moja.

Shida yangu na hawa jamaa ni kufadhili vikundi vinavyoua raia wasio na hatia.

Tofauti na hapo ana kila haki kwenye kila anachofanya bila kupangiwa masharti yoyote.
Kilichotokea ni uonevu.

Marekani hawezi kuyahisi maumivu ya vita hadi afanyiwe kama alichofanyiwa na Japan hadi akakimbilia kutumia Nyuklia.

Siku hizi vita zikipaganiwa pale New York akili zitawakaa sawa.

Inshort niko against na kuuwana asee.
 
We kama nani umhukumu binadamu kwa propoganda za US na Netanyahu au Western. Kwa hio Trump na Netanyahu wao ndio wataenda peponi kutokana na akili zako.
Ujinga ni kupigana ili kufa, badala ya kupigana ili kushinda,

Kama huna uhakika wa kushinda , akili ni kuachana na mapigano utakufa kijinga !!!
 
Kapitie ule uzi wako kuwa Marekani haitatamalaki tena katika utukufu.
 
Sasa babu Ayatollah alivojichokea atatmbaje mabikra uko kwa mud🀣🀣🀣🀣
Atapaka vix aisee, hata ingekua wewe unaachaje bikra 72 mwamba lazima apake vix. Jumlisha mito ya pombe sasa hivi anagida tu.
 
πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚
 

Attachments

  • 1772347817650.jpg
    97.1 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…