Victim mentalitySio interest yao?
Picha ya Khamenei wameitoa wapi?
Wamepataje taarifa kuhusu kifo chake!?
View attachment 3550459
Rafiki zako wa Kiislamu wanakupenda ila hawajui kama unawachukulia ni MAZUZU fulani hivi.
Nawaonea huruma sana.
Hakuna uzee akheraKwa uzee ule atapewa Bikra ngapi huko akhera, ataweza kutembeza rungu 24/7 kweli?
Lile ni gaidi tu, hata wananchi wake hawampendiKwao huyo gaidi ni malaika aso doa
Kwa hiyo rungu inasimama barabara anaanza kuwakamia mabikra 72?Hakuna uzee akhera
Umekomalia kutia, unataka akuweke?Kwa hiyo rungu inasimama barabara anaanza kuwakamia mabikra 72?
Tanganyika ina fedha!?Ayatollah na Iran zilikuwa zinanifurahisha kwa kupiga nchi za arabuni kama dubai ...maana kahaba na toto lake shenzi Abdul ndiyo yanako ficha fedha za Tanganyika.
Hata ukitukana Ayatollah ndio ameshaenda na maji. Na hakuna kitu kama mabikra 72, amekufa kiboya ππUmekomalia kutia, unataka akuweke?
Umenichekesha sana!Victim mentality
Mimi nakuona wewe ndio zuzu. Kifo cha Ayatollah kimetrend na wao wameweka status kwa sababu tu ni muislamu mwenzao. Naishi nao hawajui hata kuhusu mauaji ya raia wa Iran mwaka jana. Nina uhakika hata wengi wao nikiwauliza wamemjua lini, basi ni jana usiku baada ya taarifa za kifo chake kuanza kusambaa
Zuzu ni wewe ambaye unamjua Ayatollah na una support mauaji yake aliyofanya huko Iran.
Pia kama hujui mama yangu ni muislamu, nimekulia sehemu yenye waislamu wengi kwa hiyo watu wengi around maisha yangu ni waislamu. Siwezi kuwadharau watu wanaonisaidia nikiwa na shida, au marafiki zangu wanaofanya niendelee kuishi kwa furaha hapa duniani
Ayatollah na yesu nani alikufa kiboya?Hata ukitukana Ayatollah ndio ameshaenda na maji. Na hakuna kitu kama mabikra 72, amekufa kiboya ππView attachment 3550465
Haya mambo ungemuelekeza rafiki yako wa Kiislamu!Lile ni gaidi tu, hata wananchi wake hawampendi
Unaumiaa ukiwa wapi πHaya mambo ungemuelekeza rafiki yako wa Kiislamu!
Anayeumia na wakumuonea huruma ni huyo rafiki yako, ila najua wewe unamcheka tu kimoyomoyo na kumuona mjinga kwelikweli.Unaumiaa ukiwa wapi π
Sasa habari za Yesu mi nazijuaje. Najuaje kama ni za kweli au uongoAyatollah na yesu nani alikufa kiboya?
Mkongwe, mimi wala sio Muislamu.Keyboard_Warrior naona umeweka reaction ya kucheka, ila moyoni una machungu sana kuuliwa kwa ndugu yako Ayatollah. Pole sana, ila usijali ataenda kupewa mabikra 72 akifika ahera π€£π€£
Endelea kumuonea huruma, ila leo huko Iran ni furaha tupu π€£Anayeumia na wakumuonea huruma ni huyo rafiki yako, ila najua wewe unamcheka tu kimoyomoyo na kumuona mjinga kwelikweli.
Nawaheshimu wananchi wa Iran wanaoshangilia kifo cha AyatollahMkongwe, mimi wala sio Muislamu.
Ila jamaa unawadharau sana Waislamu, acha urafiki na Waislamu acha kuwa mnafiki, unakuwaje na urafiki na watu unaowadharau?
Unataka kuachieve nini kwenye huu urafiki wa kinafiki?
Huko Iran ni furaha tupu, sawa.Endelea kumuonea huruma, ila leo huko Iran ni furaha tupu π€£
View attachment 3550474