Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,383
- 3,278
Hivi unaijua nyuklia weew?! Hakuna shambuliz la nyuklia ambalo lishawah kushuhudiwa hapa ulimwenguni…..Afu unaropoka tu eti wana nyumba za kuzuia mashambuliz hata nyuklia ikiwemo….kitu kama hujui tulia soma uelewe.NChini Israel wana vyumba vya kujilinda dhidi ya makombira hata nyuklia.
Kila mwenye nyumba lazima awe na chumba Cha kujikinga,sheria yao inasema.
Iran sidhani kama walifikiria kulinda wananchi wao
Israel Inatumia Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu, Meno NjeApigwe Ayatollah apigwe Ayatollah
Taarifa unazopewa na media yeyote ndani na nje ya Israel siyo picha kamili au takwimu sahihi.Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja mpaka sasa kuwa Israel anasaidiwa na washirika wake.Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Sidhani ataumia kupita October 7, kwani kipindi hicho alikamatwa off guard sasa yuko aware.Unaweza kushinda vita ila ukawa umeumia pia. Kweli iran itashindwa but this time naona Israel atakua na maumivu makubwa kupita ya octoba 7.
Mkuu unaelewa maana ya ANGAMIZO?Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Netanyahu aliyeanza kuishambulia Iran ?Apigwe Ayatollah apigwe Ayatollah
Nyuma ya Iran kuna baba Russia, Baba China, Baba PakistanMkuu unaelewa maana ya ANGAMIZO?
Najua unapenda Israel ifutike ila hilo haliwezekani kwa sasa. Marekani na Washirika wake inawezekana walikosa sababu ya kuipiga Iran huko nyuma lakini hiki kinachoendelea sasa kinamuweka Iran kwenye risk kuliko Israel.
Ni sawa kuwa na matamanio, though.
Hakuna demokrasia IranNetanyahu aliyeanza kuishambulia Iran ?
Wewe mwana demokrasia uchwara
Iran imeishambulia mara nyingi sana Israel by proxy. Inawafadhili houthis, hamas etc kuipiga Israel.Dogo fatilia vizuri hakuna siku Iran kaanza kushambulia , hata mwaka jana Israel ndo ilianza uchokozi kwa kupiga ubalozi wa Iran
hiyo chuma inaitwa FATTAH-2Nitajieni jina la hilo bomu nimpe mbwa wangu.
Nagasaki and Hiroshima say Hi.Hivi unaijua nyuklia weew?! Hakuna shambuliz la nyuklia ambalo lishawah kushuhudiwa hapa ulimwenguni…..Afu unaropoka tu eti wana nyumba za kuzuia mashambuliz hata nyuklia ikiwemo….kitu kama hujui tulia soma uelewe.
Hyo ilikua ni Atomic bomb wew! Jitahd kusoma na kuelewa historia ili ujue leo na kesho .Nagasaki and Hiroshima say Hi.
Hufuatilii kabisa mambo balozi ya Iran ilishambuliwa na Israel ndipo Iran ikajibu kwa kuishambulia IsraelNyani.
Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!
Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
Wanakufa sana ila idadi inayotangazwa ni ndogo ili kuficha madhara..Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Haikuwa nyuklia, ni atomicNagasaki and Hiroshima say Hi.
Ila ipo Israel ? Mwana demokrasia uchwaraHakuna demokrasia Iran
Hili swala bdo halina strong evidence imebakia kuhisi tu..Iran imeishambulia mara nyingi sana Israel by proxy. Inawafadhili houthis, hamas etc kuipiga Israel.
Yaani tunafichwa Mengi huko Israel ila ninacho Kijua nikuwaMara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu