Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Unatamani visivyokuepo.

Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Nyie ni wale wa Israel ni taifa teule. Taifa teule my foot? Ajabu ni kwamba israel yenyewe inawaona kama makahaba mnaolazimisha kujikomba kwa mteja wa bia.
 
Iran ana wapambe wanajitahidi kumpamba bila mafanikio yoyote!! Iran alijidai ana uwezo wa kuifuta Israel wakati hana lolote acha apigwe tu!!
 
Nyie ni wale wa Israel ni taifa teule. Taifa teule my foot? Ajabu ni kwamba israel yenyewe inawaona kama makahaba mnaolazimisha kujikomba kwa mteja wa bia.
Acha ujinga kama ni Kahaba ni wewe tu!!! Acha kueneza chuki za kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini.

Ni kweli Israel ni taifa teule utake Usitake watabaki kuwa taifa teule!!!
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Inategemea unasikiliza chombo gani cha habari, vita ina propaganda nyingi mno. Jaribu kucheki movie inaitwa "Enemy at the gate" utapata mfano wa propaganda za kivita.
 
Watu wanasahau tu kwamba Irani ni Uajemi na ilibarikiwa na Mungu. Kama unabisha kasome Ezra 1:1-3(Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa mimi falme zote za dunia-anasema hayo Mfalme Koreshi wa Uajemi aka Cyrus the Great- Hapa Uajemi ilikuwa superpower ya dunia), soma pia.

Koreshi mfalme wa Iran alikuwa mpakwa mafuta Isaya 45:1, so Iran imebarikiwa tangu kitambo.

Kitu kingine unachopaswa kujua kuhusu Irani ni kwamba Koreshi Mkuu (Cyrus the Great) alikuwa mfalme mwanzilishi wa Dola ya Uajemi (Persia), alitawala kuanzia mwaka 559 KK hadi 530 KK.

Alijulikana kwa busara, uvumilivu wa kidini na sera zake za kuwaachilia huru watu waliokuwa utumwani katika mataifa aliyoyashinda wakiwamo wayahudi – jambo ambalo lilikuwa la kipekee kwa kipindi hicho cha historia.

Kwa hiyo Iran in endorsement kutoka heaven. Wayahudi wa Bonyokwa eleweni hilo.
 
Al jazeera amepigwa marufuku kuingia israel, yeye anaripoti kutokea jordan..
Ndo mana unaona hata picha hana nyingi za israel

Itikadi Kali zinaanza na misingi yake; huwezi kuanzisha taifa ukaliita "teule"kwa kufukuza mamilioni ya watu kwenye makazi Yao na kuua wengine afu utegemee majirani zako wakuchekee
Kesho atasogeza mpaka na zaidi na zaidi , israel awe na kiasi kwakweli iran amecharuka sana this time na akifanikiwa kwa hili USA kazi anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…