Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Videos za milipuko kama zile za Iran tafadhaliKabisa.
Kombora likidakwa na air defence system huwa halitoi mlipuko sababu mlipuko hutokea likitwanga mahali tu
Sasa hao wanaosema ohh yalidakwa uongo
Milipuko ilitokea sehemu mbali.mbali Iran ikiwemo Tehran ikimaanisha kuwa makombora yalitua penyewe na kutandika.Yangedakwa hewani kusingekuwepo milipuko aridhini.Yakidakwa hayalipuki
Ayatollah kapigwa huo uongo wa ohh tuneyadaka porojo
Hao ndio shia bhana , vitu vinapanguliwa kama utoto ...Israel anajitahidi kuwapa moyo wanaoamini ni taifa la Mungu ...Piga visima vya mafuta na nuclear sites huone sio unatumia vikoroketi . 😀 😀 😀
View: https://x.com/tariqtramboo/status/1850011134595674327
Kulipua sehemu yalikopiga sehemu za.kijeshiHasara gani ?
israel hawamuamini wala kumkubali huyo jesus wako acha kuchanganya mambo, israel wanaamini mungu mmoja na kwao ni makosa kumwita yesu mungu kama nyie makafir mnavyofanyaWhere are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.
Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.
Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.
Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.
JESUS AND ISRAEL FOREVER
Wanamchosha vipi Iran kupitia Israel, huku Israel mwenyewe anachoshwa na kuwekwa busy na Hamas& Hezbollah?. Iran sio wajinga kusaport vikundi vya kumuweka busy Israel.Hapo nato wakitaka kumchosha Iran waitumie Israel kama wanavyoichosha urusi kwa kutumia Ukraine.
Wakihakikisha zimechoka kabisa ndiyo nato inaingia mzigoni kumaliza mchezo.
Hao nato sio wajinga wanavuta subira na wanajiandaa kimya kimya,
Soma tena ulicho andikaKukipua sehemu yalikopiga sehemu za.kijeshi
Iran atakachosema ni kuwa mashambuliza ya Israel hayakufanikiwa ngoja imepita hiyo. Na usisahau Israel kuzuiwa sana na amerika asipige kwenye mafuta au nyuklia site so wamepunguza ukubwa kumuonyesha wanauwezo wa kumpiga. So mzigo umepita. Iran hatajibu na ishu imepita hiyo.
Kama ni kichekesho si ndio sawa, waajemi wacheke waendelee na maisha mengine.Ngoja tusubiri waajemi watasemaje lakini kilichofanyika na jeshi la wateule ni kichekesho.
Iran alishaliamsha siku nyingi dhidi ya Israel wapiganaji wengi wa Hamas,Hezbollah nk ni makomandoo wa Iran wakitumia silaha xa IranNatamani Iran iliamshe moja kwa moja liwalo na liwe. Israel inahitaji mbabe mwenzake kama Iran ndio tutapata ladha ya vita. Siku Tel Aviv ikiwa magofu kama Gaza ndio akili itawakaa
Yes. I'm Christian.Are you Christian? Is this a war between Christians and Muslimus?
Yaani zimepanguliwa kama mtoto hata kufika level ya chini hazijafika ....Israel analinda heshima maana atawaangusha wanaomini ni taifa la Mungu ila hana kitu .Kmmmke nadhani US kafanya kupima Air defence ya IRan hivyo kaondoka na notice leo. Iran ilitakiwa afanye intercept ya baadhi tu zenye madhara ili awahadae wajae
Tena kwa msaada mkubwa mno, japo kama kawaida yao US, kishasema hajahusika na haya mashambulizi.Aisee Kwa msaada mkubwa wa USA hapo.
Naingia huku kwa wizi, majukumu yamezidi. 😊Siku nyingi hii id nilikuwa sijaitia kumacho
Kilicholipuliwa ni nini?Hasara gani ?