Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Hezbollah ni mkono na mdomo wa Iran. Israeli kumkomesha Iran ndani ya Syria, kamfumua Hamas mshirika mwingine wa Iran. Iran ikikubali Hezbollah akifumuliwa na Israeli, basi Iran hatakuwa na proxy group nyingine ya kupambana na Israeli na ugomvi wowote utakaofuata itakuwa ni Iran dhidi ya Israeli. Kwa sasa Iran hayuko tayari kuivaa Israeli katika vita, hivyo kazi kubwa aliyonayo ni kuhakikisha kuwa Hezbollah hailekezwi Kibra na Israeli.
 
Hawa waajemi waliokuwa wanatumia outdated helcopter ya kimarekani kumbeba marehemu Rahisi?
 
hili nalo lishagq changanyikiwaโ€ฆ
angalieni nyuzi zake
Ubongo ushajam na hamas na ugaidi
 
Wameshajiunga?
Shehe ponda hajapata Visa akaungane na wenzake?
 
Vp wameshaenda ?!
 
Haya mashirika yamepotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ