permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wanakumbi.
MPYA:
🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hezbollah ni mkono na mdomo wa Iran. Israeli kumkomesha Iran ndani ya Syria, kamfumua Hamas mshirika mwingine wa Iran. Iran ikikubali Hezbollah akifumuliwa na Israeli, basi Iran hatakuwa na proxy group nyingine ya kupambana na Israeli na ugomvi wowote utakaofuata itakuwa ni Iran dhidi ya Israeli. Kwa sasa Iran hayuko tayari kuivaa Israeli katika vita, hivyo kazi kubwa aliyonayo ni kuhakikisha kuwa Hezbollah hailekezwi Kibra na Israeli.