Hili ni swali la msingi kujua Casualties ila tutambue kuwa Israel alivifukuza vyombo vya habari vya kimataifa especially Al Jazeera wasifanye kazi ndani ya mipaka ya Israel yaani kureport tukio lolote. Sasa napata wasiwasi kama taarifa wanazotoa IDF yenyewe kama zitakuwa zinaukweli.Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
Kwani Iran,ametoa kipigo gan hapo zaid yakurusha vikombora visivyo na madhara, Israeli akijibu utasikia vichwa vya makanda kadhaa wa Iran vimeliwa chini ya mahandakiBREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.
🇮🇷 Statement by the IRGC:
"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"
'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Waislam wawapIran imewafuta machozi waislam…
Watampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.BREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.
🇮🇷 Statement by the IRGC:
"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"
'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Kuuwa raia ndio ushindi kwa Israel! Inasikitisha sana.Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
October 7, 2024 walificha vifo !! Kama Israel dhaifu tuone waarabu waingie Israel na kuikalia walau siku moja, kama Waisrael wanavyoingia Lebanon na kutokaIsreal wanaficha sana vifo vyao kisa wataonyesha udhaifu wao na watadhalilika kwasbb ya kujisifu na propaganda kila wakati.
Huko Iran na waarabu wengine wanaruhusu uhuru wa vyombo vya habari! Al.jazeera kazi yao kukosoa wayahudi na wakristo na waafroka waarabu kwao wasafi, walifaa wafukuzwe kabisaa.Utaona wapi ikiwa Israel amezuia vyombo vya habari chombo pekee kilichojitolea kwa hali yoyote Al-Jazeera wamekuwa wakikisakama sikuzote wamewaua wandishi wao wengi na juzi tu wamewavamia kweny jengo lao lilmbali kidogo na kwao ndugu hujui tu hili!!
Na haitasemwa hii. Na hata Marekani huwa hapende dunia ijue pale askari wake wanapozamishwa .Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
Kwa hiyo umeona umeandika kitu cha maana sanaMara 1000 zaidi ni kidogo, akitaka afungulie maghala yake yote ya silaha alizonazo, aishambulie Israel na akiona haitoshi awakusanye wana Iran wote pamoja na viongozi wao wakajibamize wazima wazima na miili yao kwa Israel, lakini Israel itabaki kuwa Israel.
Sawa Black ZionistNasemaje waache hao Iran wajichanganye Hamas walipoanza watu walipika mpaka pilau humu wengine wakabadiri na avatar kabisa wakishangilia kilichofuata huruma pray for Palestine kisha akaja yule mkuda wa kuitwa Hezbolah kelele kibao kavimba balaa kachezea mkono sasa hivi anachechemea pray for Lebanon kelele ni nyingi mno ceasefire sasa kaingia kaka yao mkubwa na yeye subiri tuone kwani shida ipo wapi muda ni mwalimu mzuri wa soon utasikia pray for Iran pray for Iran ceasefire na akishindwa yule mbuzi akibinya kitufe analipuka yeye kabla hio nyuklia haijafika Israel
Sijui we we.Kwa hiyo umeona umeandika kitu cha maana sana
Fichueni sasa ninyi. si vita vikao hadharani?!Isreal wanaficha sana vifo vyao kisa wataonyesha udhaifu wao na watadhalilika kwasbb ya kujisifu na propaganda kila wakati.
Vita ni propaganda,huwezi pewa taarifa kamili kuhusu kuumizwa kwao,lazima wajifariji huku wanagigumia kwa maumivu makali tumboni,subiri revange yao ndio utajua ni kiasi gani hayo mabomu yamewaletea madharaWamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
Swali la khanithi mkuuKwani aliyeshambulia haruhusiwi kutoa taarifa?
🤣🤣🤣🤣🤣Ndio maana kuna different forums here
So sio lazima uje forums hii,
Unaweza kwenda hata ya mapishi au umbea