Unasoma kwa uelewa au kwa kukurupuka??kukataa kuweka base siyo ndo kuwa anti USA kuna mataifa kibao ya USA lakin hayajakubali kuwa na base!!!
Je tanzania ni Ant US??
Dah...Wachambuzi wa kibongo kaz kweli? Eti ndo itakua mwisho wa Iran? Ivi unajua umbali wa kutoka Israel mpaka Iran ni Km? Apo kinachofanyika ni just Prox wars tu kushambuliana kwa km wanavofanya...Iran imekua ikiishambulia Israel miaka yote kwa kutumia makundi yake na Israel pia kwa kutumia makundi inayoyafadhili japo mengi hayafanikiwi sana... Kila muIsrael anaekufa kuna namna moja au nyingine Iran anahusika maana yeye ndo anawapa Silaha na kuyaongoza... Israel anachofanya Syria ni kujaribu kupunguza uwezo huo ona Lebanon kundi la Hezbollah lina nguvu kuliko Serikali ya Leban na lina silaha za kutosha na limeshashindwa kuondolewa ata na Israel yenyewe wamebaki kutishiana tu kua wasipigane full war...Njoo Yemen kundi la Ki Houth mziki wake umeuona wamepigana na Saud wakisaidiwa na mataifa makubwa km Bahrain,UAE, Misri nk mpaka nchi hizo zote zika choka wakakubaliana leo mziki wake tunauona wanashambulia Israel na kuweka naval blockage leo bandari za Israel zimeyumba hadi Baba zake mkubwa na mdogo US/UK wameingilia kati kumshambulia Houth....Njoo Irak kuna Makundi ya Iran ambayo yameshakua na Nguvu kuliko ata Serikal juzi wameshambulia Bandar ya Eliat ya Israel na wamekua wakishambulia kambi za US na kuua pia... Kwahiyo km US/Irael wasipofanya juhudi kwa cost yoyote ile ili Syria isiwe na kundi km Hezbollah na Houth basi Israel itakua imezungukwa kila pande... Imagine wanamgambo wa Hamas leo ni mwezi wa 5 hawana support yoyote ile ya silaha ambazo zinaingizwa lakin bado wapo njoo Israel nchi kibao wanapeleka Silaha kwa wingi...Sasa Ndo vita kati ya Israel na Iran ndo ataweza? Anachokifanya Israel ni kutaka Iran na US zipigane kwa niaba ndo maana wakati mwingine israel ikifanya tukio Iran au makundi yake yana dili na US...... US mwenyewe kashakili km kumvamia IRan ilikua nimiaka ya 2012 Iran ikiwa haina airdefence system za maana just HAWK na S-200 za kizamani sana na haikua na precision missile km leo....Leo Iran ana airdefence system anazotengeneza mwenyewe ,drone na makombora yakufika Israel... Mpango wa Iran ni kuizunguka kwanza middle east kwa kuhakikisha kila angle kundi lake linakua na nguvu.... Nenda ktk military news ka google uone nguvu ya Hezbollah wanasema ina silaha kuliko ata baadhi ya nchi za Eu... Bila US hakuna IsraelKumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US.
Kwasababu israel haikuweza kuishawishi NATO au US kuingia vita moja kwa moja na iran basi imekua ikichochea kuongezeka kwa sanction kwene serikali hiyo ya iran kila kukicha.
Iran inafahamu hili ndio maana haijawai kuishambulia Israel moja kwa moja pamoja na kua Irael imekua ikihusika na milipuko mbalimbali ndani ya Iran,kuuliwa kwa wanasayansi na kupandikiza wapelelezi kuihujumu.
Kushawai kuwa na utabiri kutoka kwa Senetor wa marekan Lindsey Olin Graham kua Israel Itaishambulia Iran na marekani itafanya.
Bye bye Iran
View attachment 2953272View attachment 2953273
Unaitenganisha vipi Israel na marekani??Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US.
Kwasababu israel haikuweza kuishawishi NATO au US kuingia vita moja kwa moja na iran basi imekua ikichochea kuongezeka kwa sanction kwene serikali hiyo ya iran kila kukicha.
Iran inafahamu hili ndio maana haijawai kuishambulia Israel moja kwa moja pamoja na kua Irael imekua ikihusika na milipuko mbalimbali ndani ya Iran,kuuliwa kwa wanasayansi na kupandikiza wapelelezi kuihujumu.
Kushawai kuwa na utabiri kutoka kwa Senetor wa marekan Lindsey Olin Graham kua Israel Itaishambulia Iran na marekani itafanya.
Bye bye Iran
View attachment 2953272View attachment 2953273
Isis na Al Qaeda hawana uadui na Israel fatilia uoneVitu vizito vitatua tel Aviv na middle east haitokua hii Tena,nawaona ISIS,Al Qaeda ndani ya Israel
Hujaona apo Israel will Attack Iran and america will followUnaitenganisha vipi Israel na marekani??
Wayahudi ndio wanahodhi uchumi wamarekani
Wayahudi ndio Wana ushawishi mkubwa kwenye siasa za marekani
Hiyo itakua ni vita Iran Vs America pengine na washirika wa marekani
Israel only alone Vs Iran, mmmmmmmh!!
Marekani kashasema hausiki na kumchokoza Iran kwahiyo israeli apambane mwenyewe kayataka mwenyewe.Hujaona apo Israel will Attack Iran and america will follow
Israel inauwezo wa kuishinda iran ila price itakua kubwaMarekani kashasema hausiki na kumchokoza Iran kwahiyo israeli apambane mwenyewe kayataka mwenyewe.
Kwanza unautaalam gani kuhusu masuala ya kijeshi maana ni siwe naongea na kilaza hapa?kwa uwezo wako mdogo
niambie irani inaweza pigana na nchi ngap kwa pamoja na kuzishinda??
Israeli kila siku anapigwa na Hezbollah. Unaijua Hezbollah ni nani? Ni katawi kadogo ka kijeshi ka IranIsrael inauwezo wa kuishinda iran ila price itakua kubwa
Kwahiyo unakubali kua marekani, NATO na Israel wataishambulia Iran??Hujaona apo Israel will Attack Iran and america will follow
ndioKwahiyo unakubali kua marekani, NATO na Israel wataishambulia Iran??
kama wayahudi watakufa 1000 Waajem watakufa milion3. Anguko la serikali ya iranWayahudi tangu jana wanalala kwenye mahema maana hawajui siku wala saa mwana wa ajemi atafika.[emoji1787]
View attachment 2953406
Wairan wao watauwa wanajeshi tu maana dini ya kiislamu imekataza kuuwa watu wasio na hatia wala kuharibu sehemu takatifu za kuabudiakama wayahudi watakufa 1000 Waajem watakufa milion3. Anguko la serikali ya iran
Wana hii principal myahudi 1= watu 100
Tujikumbushe cha gaza
wayahudi 1000=== vifo palestina 30,000
Naona tunaelewa….
Wale watu 1000 walikua wanajeshi waliowauwa israelWairan wao watauwa wanajeshi tu maana dini ya kiislamu imekataza kuuwa watu wasio na hatia wala kuharibu sehemu takatifu za kuabudia
Acha ndoto kijanakama wayahudi watakufa 1000 Waajem watakufa milion3. Anguko la serikali ya iran
Wana hii principal myahudi 1= watu 100
Tujikumbushe cha gaza
wayahudi 1000=== vifo palestina 30,000
Naona tunaelewa….
Uislam utaenea dunia nzima hivi karibuni tuKumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US.
Kwasababu israel haikuweza kuishawishi NATO au US kuingia vita moja kwa moja na iran basi imekua ikichochea kuongezeka kwa sanction kwene serikali hiyo ya iran kila kukicha.
Iran inafahamu hili ndio maana haijawai kuishambulia Israel moja kwa moja pamoja na kua Irael imekua ikihusika na milipuko mbalimbali ndani ya Iran,kuuliwa kwa wanasayansi na kupandikiza wapelelezi kuihujumu.
Kushawai kuwa na utabiri kutoka kwa Senetor wa marekan Lindsey Olin Graham kua Israel Itaishambulia Iran na marekani itafanya.
Bye bye Iran
View attachment 2953272View attachment 2953273
🤣 🤣 🤣Vitu vizito vitatua tel Aviv na middle east haitokua hii Tena,nawaona ISIS,Al Qaeda ndani ya Israel