Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

Rubbish 💩💩
 
Kati ya wewe na huyo jamaa Nani kilaza? Yaani uifananishe dola iliyoexist miaka elfu kadhaa iliyopita na kataifa ka leo? Ina maana hata ugiriki ya Leo inafanana na ugiriki ya enzi za kina Alexander? Kila Taifa Lina strategy zake vitani! Kama atashirikiana na USA itabaki kwamba Iran vs Israel na USA atakuwa Kama mpambe tu
 
Akishambulia direct na majibu yake yatarudi hivo hivo
Israel hana uwezo wa kushambulia directly Iran.
Labda kama atapata usaidizi wa USA na NATO.
Maana anga la Iran haliingiliki.
Pia Iran iko mbali na Israel kwa kiasi.
Kwa suala la infantry ndio kabisa hawezi thubutu anajua guerilla warfare haziwezi.
 
Israel hii inayo pambana na kikundi cha mgambo siku zote ndo ikampige Iran?
 
Ukiachana na kuitwa Islamic Republic of Iran jina lingine inaitwa The terrorists Republic of Iran 🇮🇷
 
Madai yako ya kujificha nyuma ya watu Israel walishindwa kuthibitisha.
Je Hizbollah nao wanajificha nyuma ya raia?
Mbona kaskazini mwa Israel wamewasha sana moto?
 
Nayeye anatambua sana hili ndio maana kwa miaka mingi amekuwa akijijengea ngao kumzungukq kama hamas, hezzbollah, houth na wanamgambo syria
Sasa hivi hao magaidi wamesokomezwa kuzimu
 
We ndio unaongea rubbish.
Huna unalolijua unaonekana.
pia mifano inaendana itizame kwa utuo.
Israel hana ubavu wa kuivamia Iran directly kwanza anga la Iran lina mifumo ya ulinzi wa anga bora kuliko ya Israel mfumo wa khordak.
Iran mpaka Israel ni mbali na hawachangii mpaka hivyo kwa infantry hawezi.
Ukisema kwa kutumia makombora USA ilikiri middle east taifa lenye nguvu ya makombora ni Iran.
Na makombora ya Iran yanaweza kukwepa interceptors.
Mfano makombora anayotumia hizbollah hakuna hata moja iron dome iliweza ku intercept.
Na yale ni medium range na yana ujazo mdogo.
 
Iran iishambulie Israel mara ngapi wakati proxies wake mf. Hezibollar,Hamas na vikundi vingine vinarusha makombora ndani ya Israel?
Kuna kikundi cha Houth Yemen kimeshambulia meli,Bahari ya Sham,kimeshambulia bandari ya Elath ya Israel!
Israel imeshambulia mara ngapi ndani ya ardhi ya Iran mara ngapi?
Hizi ziko Vitani muda wote!
Na hata hilo shambulio ambalo Iran imepanga kulifanya dhidi ya Israel,halitaifanya Iran ifutwe katika uso wa dunia!
Sema Vita vinaweza kupanuka Mashariki ya Kati!
 
Sasa Israel anamtaka Iran atokee mwenyewe siyo kituma hao watoto
 
Kwa hiyo USA ni bwana ako kwamba akikiri Basi mi kweli! Hujui kwamba Israel Ana nukes? Je Iran anazo?

Unavyoichambua hiyo mifumo Kama umeitengeneza wewe na ukoo wako ndo wanaposses secrets zake!

Si Bora hata hiyo iron dome imeonesha kazi yake kwenye live war? Hizo sijui khordak zilitumika Vita ipi sheikh? Au ndo walewale wa niaminini Mimi.
 
Tusaidie hapo kwene makombola ya hezbollah yalirushwa mangap na mangap yalitua ardhin
 
Sasa Israel anamtaka Iran atokee mwenyewe siyo kituma hao watoto
Israel hana huo ubavu mkuu.
Israel ana mtindo wa ku eliminate threat kabla hajafanya madhara.
Ndio maana unaona Syria wakirusha hata jiwe atafanya aerial bombing ya kufa mtu.
Ila mbona kuua threat ya Iran hajafanya?
Tusiende mbali hapo tu Hizbollah Lebanon wanawachachafya muda tu Israel ila Israel haijaingia full scale war,ushajiuliza kwanini??
Labda useme Israel anakazia Iran aingie vitani directly ili wakubwa(UK,USA,France) ndio washughulike nae.
Ila Israel ubavu hana.
 
Tusaidie hapo kwene makombola ya hezbollah yalirushwa mangap na mangap yalitua ardhin
Iliripotiwa operation za makombora zilizofanyika ni 600+.
Na zote zilifanikiwa ndio maana kaskazini mwa Israel raia walihamisha na millitary post ziliongezwa.
Athari moja wapo kambi mbili kubwa za Israel kaskazini ikiwemo Galilee ziliteketezwa.
 
Upo sahihi kabisa mkuu, lakini kitaalam hiyo ni Proxies Sporadic Act of violence, Sasa hapo inamaana kuwa Iran anaogopa kufanya Justification ya vita dhidi ya Israel ( Jus ad bellum)

Sasa kitendo cha Israel kushambulia balozi ya Iran kitatoa tafsiri kuwa Israel imeipiga nchi ya Iran na bila Shaka imevunja ibara ya 2(4) ya UN Charter na imeleta hiyo Justification ya vita yaan Jus ad bellum, hivyo hatutegemei tena proxies kuijibu Israel.
 
Iran hayuko katika hali ya kuingia vitani moja kwa moja.
Maana Israel anategea USA na UK ndio wapigane na Iran.
Hata ukisikiliza malalamiko ya Israel juu ya Iran unakuta akiichonganisha USA ichukue hatua sio yeye ndio achukue hatua.
Ila mkuu Iran sio mjinga anajua kama wamagharibi wanamuwinda.
Ila majibu yatatokea tu mkuu.
 
Ndio maana nasema huna ulijualo na unazidi kuropoka.
Khordak ilifanya kazi kwa kuitungua stealth drone ya USA 2018 tena kwa pigo moja la haraka.
Dunia ni utandawazi nani asiyeona kuwa iron dome ilifeli kuzuia nusu ya roketi hafifu za Hamas??
Ripoti ilitolewa hamas walirusha roketi 5000 oktoba 7 3000 yalipita.
Je kama zile roketi zingekua ni makombora yenye ujazo wa masafa marefu??
Iran inarutubisha nuclear zaidi na ishapita kiwango cha kuunda silaha.
Usiifananishe Iran na Israel.
Ujiulize kwanini USA hufanya msako wa anga mataifa takriban yote middle east na sio Iran??
Iran ana mfumo wa anga madhubuti.
Stealth drone iliyoaminika ngumu kui detect khordak ili detect ikaifumua kwa kombora moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…