TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

Wale wanoesemaga
yote haya yalianzia awamu ya mwendaz....k.. mnasemaje na hili
 
Haya matukio yakitokea opposition tunasingizia CCM, serikali yake na Green Guard... Je na Kwa hili tulalamike Moja Kwa moja kuwa ni CDM na Redbrigade Yao???
Nafikiri tuliache kuwa halina majibu hadi uchunguzi wa pasipo na shaka yoyote utakapotoa majawabu
 
CCM wameanza kugeukana kisa vyeo.. Pumzika kwa amani
 
Amsalimie mzee meddy kibao
 
Duh mkuu pole sana ina maana walishakufanyia hivyo mpaka ukaja kutoa huu ushuhuda hapa
Yy ndiye muasisi mkuu wa siasa za kuuana ,kulawiti na kuteka .alikuwa na genge la kuua wapinzani .kaondoka na roho nyingi za wasio na hatia .mwenyez mungu amchome mpaka akome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…