kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Nilijua nchimbi amekufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan haya yanayoendelea yeye ndo anafanya?Yapi ya kumuua ben sanane??
Mwaka wa tatu sasa hayupo, ila kelele zenu n zile zile 😂Kuasisi mauaji ni kusingiziwa? Mfano Makonda alivamia clouds na bunduki live kabisa, je JPM alichukua hatua gani? unasemaje kasingiziwa
C ameshakufa mwaka wa tatu sasa, au amefufuka?Muasisi wa haya yanayoendelea
Vp sasa hv?Hilo ndio lilianzishwa utekaji
Wale wanoesemagaWatu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi .
Taarifa ambayo Matukio Daima media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia Leo katika Kijiji Cha njia panda ya Tosa wilaya ya Iringa Vijijini nje kidogo na mji wa Iringa ambako alikuwa akiishi.
Kuwa baada ya kumshambulia kwa risasi alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa ya Tosamaganga ambako amefariki Dunia.
Matukio Daima media imezungumza kwa njia ya simu na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo John Kiteve amesema tukio Hilo limemgusa sana na amesikitishwa na tukio hilo .
Huku kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Allan Bukumbi hajaweza kupatikana ili kuthibitisha tukio Hilo Bado Matukio Daima media inaendelea kufuatilia zaidi.
Chanzo: Matukio Daima Media
Pia, Soma:
Kifo ni kifo tu.n
Naona kumeanza kuchangamka
Hata Mimi nimeka feel mkuu, Tena dhairi kabisaDaah sijui kwanini kuna kakitu Nimeka feel moyoni.
Any way poleni wafiwa.
Umeona!Kama ambavyo tunapiga kelele haya kutokea kwa viongozi wa CDM, vivyo hivyo kwa CCM.
Haya hayapaswi kutokea katika jamii yetu, tuungane kuupinga unyama huu.
CCM wameanza kugeukana kisa vyeo.. Pumzika kwa amaniWatu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi .
Taarifa ambayo Matukio Daima media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia Leo katika Kijiji Cha njia panda ya Tosa wilaya ya Iringa Vijijini nje kidogo na mji wa Iringa ambako alikuwa akiishi.
Kuwa baada ya kumshambulia kwa risasi alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa ya Tosamaganga ambako amefariki Dunia.
Matukio Daima media imezungumza kwa njia ya simu na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo John Kiteve amesema tukio Hilo limemgusa sana na amesikitishwa na tukio hilo .
Huku kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Allan Bukumbi hajaweza kupatikana ili kuthibitisha tukio Hilo Bado Matukio Daima media inaendelea kufuatilia zaidi.
Chanzo: Matukio Daima Media
Pia, Soma:
Amsalimie mzee meddy kibaoWatu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi .
Taarifa ambayo Matukio Daima media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia Leo katika Kijiji Cha njia panda ya Tosa wilaya ya Iringa Vijijini nje kidogo na mji wa Iringa ambako alikuwa akiishi.
Kuwa baada ya kumshambulia kwa risasi alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa ya Tosamaganga ambako amefariki Dunia.
Matukio Daima media imezungumza kwa njia ya simu na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo John Kiteve amesema tukio Hilo limemgusa sana na amesikitishwa na tukio hilo .
Huku kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Allan Bukumbi hajaweza kupatikana ili kuthibitisha tukio Hilo Bado Matukio Daima media inaendelea kufuatilia zaidi.
Chanzo: Matukio Daima Media
Pia, Soma:
Yy ndiye muasisi mkuu wa siasa za kuuana ,kulawiti na kuteka .alikuwa na genge la kuua wapinzani .kaondoka na roho nyingi za wasio na hatia .mwenyez mungu amchome mpaka akomeKwan haya yanayoendelea yeye ndo anafanya?
Yy ndiye muasisi mkuu wa siasa za kuuana ,kulawiti na kuteka .alikuwa na genge la kuua wapinzani .kaondoka na roho nyingi za wasio na hatia .mwenyez mungu amchome mpaka akome
Sasa tunasubiri itamkwe hivyo sijui itakuwaje hapo double standard hio ni pole kwa wafiwa au kifo ni kifo tu kule X amesemaje kuhusu hilo?Kifo ni kifo tu.