MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Kile kilikua chuma ila alistaafu utumishi wa umma, kabaki ushauri tuDCEA Wengi walitokea huko upolisi/Interpol
Kuna mtu alikua amenyooka kama Rogers Siyanga?(Yule ilikua ni hazina kubwa) Alichosukumiwa je??
Oya dogo kobaz ole wenu nyie kobaz mumdhuru mchaga wetu mgalatia mwenzetu. Kanyooka mkristo safi. Mnamchukia kwasababu kawabana nyie kobaz wauza madawa mafisadi papa na wakwepa kodi.Huyo Lyimo kuna siku anatayakanyaga ya kina cartel
Aliejifanya mkuda kwenye meno ya tembo tena mzungu alipitiwa
Kwahiyo labda astaafu mapema, lakini bongo ya leo kuna kila aina ya mafia ila wako low key.
Kwanini asingeficha?TZ haina Mafia.
Ina watoa rushwa tu.
Kungekuwa na Mafia, kina Rostam wasingekuwa wanaficha pesa nje ya nchi.
Oya dogo kobaz ole wenu nyie kobaz mumdhuru mchaga wetu mgalatia mwenzetu. Kanyooka mkristo safi. Mnamchukia kwasababu kawabana nyie kobaz wauza madawa mafisadi papa na wakwepa kodi.
Jagina Tanganian Kubwa la Maadui
Kiongozi wa sasa wa hiyo Idara hatari tupu Mkuu,ukijichanganya unabaki historia.Labda kama huna hela ya rushwa
Kwasababu hakuna mtu wa kumfanya kitu.Kwanini asingeficha?
Kabisa wale jamaa wamemkamata maza mmoja ni supplier wa Gomba chuga na ni hawara wa kiongoz mstafu wa CCM.Jamaa anaongea ukweli, kuna jamaa namfaham personally kabisa yuko ndani toka 2016 pamoja na utajiri alionao.
Hilo la kukuchomekea watu limemkuta jamaa mmoja wa kijiji cha nakiu jirani na nanjilinji yeye dili zake ilikuwa Pembe za ndovu jamaa naweza kumlaumu kwa ufala wake yaani alishindwa kujenga watu ambao siku likimkuta wambebe wakati alikuwa na pesa ya kutosha kabisa....siku ya siku akadakwa na mzigo kumbe kijana mmoja wa kisukuma ambae alikuwa anamuamini sana kumbe aliletwa ili ammalize na kweli kapigwa miaka 20 mwaka juzi....huyo kijana wa kisukuma alikuja kwake kama mchunga yaani mzee akampandisha cheo ndani ya mwaka mmoja akaanza kumuhusisha dili zake kwa kigezo kwamba wasukuma ni wachapaziMbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono usioutarajia.
DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.
Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa wala njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
Kiukweli sijakuelewa unataka kuniambia mafia hawi na hofu?Kwasababu hakuna mtu wa kumfanya kitu.
Kina Manji wamefia ughaibuni, wamezikwa wapweke huko Marekani.
Jamaa ukiona wame ku Tag sehemu ujue tayari wana taarifa zako zote na wanaweza kukufuatilia hata miezi 6 siku wakija wanakujaga na Full detailsMbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono usioutarajia.
DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.
Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa wala njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
Mafua ndio wanaendesha serikali. Hana cha kuogopa.Kiukweli sijakuelewa unataka kuniambia mafia hawi na hofu?
Wakiamua kukuletea noma hawakuachii wanakufanya mfanoKabisa wale jamaa wamemkamata maza mmoja ni supplier wa Gomba chuga na ni hawara wa kiongoz mstafu wa CCM.
Mama aliwapa bunda la kutosha walikataa na wakaleta na zao wakamwambia tukuongezee.
Ilikuaje mkuuDCEA, TAKUKURU, πππππ haya bana ila hizo taasisi ukiwa na cheo kidogo kaa kwa tahadhari sana
Kuna tukio lilitokea nyegezi stand aloo kama movie ya CIA
Siyo ganja ni mpungaGunia la bhange + pembeni kiongozi rushwa
Kawaulize wale wadada kule nyuma ya standIlikuaje mkuu