Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa kwa nini kila mwaka Israel wanapewa mabilioni ya mapesa na Marekani?
Silaha karibu za Israel ni za Kimarekani.
Hayo mabomu ynayodondoshwa huko Gaza na Lebanon, yanadondoshwa na ndege za Kimarekani.
Watu mna fantasies za ajabu kweli.
Silaha karibu za Israel ni za Kimarekani.
Hayo mabomu ynayodondoshwa huko Gaza na Lebanon, yanadondoshwa na ndege za Kimarekani.
Watu mna fantasies za ajabu kweli.