Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

Mkuu hata mimi naona Yemen sio wa mchezo mchezo, kwa sababu kila siku ilikuwa ni hypersonic zinashuka Tel Aviv, na kusikia kwa kenge ni hadi damu zimtoke masikioni.

Houthis sio mchezo, na najua ni Iran ndiye alikuwa anapeleka hizo missiles na wataalamu, hakuna iron dome wala david sling ziliweza kuzuia missiles za Houthis...
 
Nakiri, leo ndio nimeelewa umuhimu wa mateka wa kivita.

Bila hawa mateka ingekuwa vigumu Israel kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano.
Wangefikia..
Ambacho hakisemwi na media kubwa duniani, hivi sasa kila siku Houthis wanafanya mashambulizi ya missiles za ballistic na kupiga Tel Aviv, wananchi wanaishi kwa hofu sana, juzi hapa wamerusha hypersonic, kibaya zaidi mifumo ya ulinzi ya Israel inafeli kuzuia.

Sababu nyingine uongozi wa Trump, Trump anataraji kupunguza kutoa pesa kusaidia vita za mashariki ya kati na Ukraine.

Yote na yote Netanyahu bado ana kinyongo, kakubali shingo upande.
 
Sheikh hapa duniani nchi za waislamu wa kweli namba moja ni yemeni, lebanon, iran, iraq na kidogo syria ya assad, hawa wa saudia na wenzake wote makafiri😂😂
 
Kiufupi duniani sasa nchi ya kiislam haswaa ni yemeni, na mashia wanajitahidi sana kuwapambania waislam wenzao ila saudia na wenzao ni makafiri tu kama mazayuni
 
Onyesha damage iliyotokea sio unaleta porojo tu
 
Jifunze kusoma na kuelewa,

"Wachangiaji wengi'' tafsiri yake ni idadi na sio uwakilishi,mbona unakua na akili nzito kama Bata kiasi hicho?
Hiyo idadi kanzidata unatunza wewe? Au wewe ndiye mmiliki wa jf? Kwa kujipendekeza uko vizuri.
 
Wangekuwa wanaweza kufanya hivo ndani ya siku huzi 400 wangekuwa washafanya ila imekuaje mpaka wamekubali ceasefire na magaidi na kurudisha mateka mkuu
 
Yupe ni shujaa wa kweli hapa duniani kama che Guevara
 
Onyesha damage iliyotokea sio unaleta porojo tu
Fuatilia huko Youtube na kwenye internet utaona.
Makombora yanayotoka Yemen kila siku yaacha majeruhi na mabaki yanaanguka kwenye makazi ya watu...
Na hapo Houthis wameanza taratibu , Israel ingejitia ujuaji kupiga raia Yemen, basi Houthis wangefanya hivyo..
 
Hiyo idadi kanzidata unatunza wewe? Au wewe ndiye mmiliki wa jf? Kwa kujipendekeza uko vizuri.
Wewe umeshaonekana kua ni poyoyo kwa kujiwekea malengo yako ya vita na kujiona kua wewe ulikua na malengo yako tofauti na wayahudi wenyewe,

Tulia tu sasa ili usiendelee kuzidi kuonyesha upimbi wako.
 
⚡️ The Houthis announced they will honor the agreement between Israel and Hamas, and stop launching missiles and drones toward Israel with the beginning of the ceasefire in the Gaza Strip.
🙏🙏
 
Halafu kuna nyumbu wanasema Israel walikuwa wanajua mateka walipo. Yani ujue mateka walipo halafu uingie mezani kwa majadiliano ya kusitisha vita kupitia mateka unaofahamu walipo?

Halafu sio teknolojia ya Israel pekee Mkuu, ni ushirikiano wa Israel na US Intelijensia yao imeshindwa kujua walipokuwa mateka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…