Nah. Wala haiko hivyo.
Israel ilikuwa inajua mateka wako wapi.
Na IDF haikushindwa kwenda kuwaokoa.
Shida ilikuwa ni dynamics za mazingira.
Israel ilikuwa inajua walipo mateka. Na ilikuwa inajua wako hai.
Sasa kujua wako wapi hao mateka na kujua wako hai, haimaanishi ndo unaenda tu kichwa kichwa kama huna akili timamu.
Lengo la Israel lilikuwa ni kuwarudisha kwa wapendwa wao hao raia wake waliotekwa na Hamas ingali wakiwa hai.
Sasa watu mnajua mateka walipo. Na mnajua Hamas wanawatumia kama leverage katika majadiliano [negotiations].
Mnajua wako chini ya Hamas. Hamas ambao wako tayari kufa kwa kujitoa mhanga.
Mnayajua yote hayo. Ndo mtaenda kichwa kichwa bila kutumia akili?
Mkifanya hivyo, lengo lenu litashindwa.
Mkivamia mahali walipo, mateka watauliwa. Na Hamas ama watajiua wenyewe au mtawaua nyinyi.
Sasa hapo mtakuwa mmefanikiwa nini katika lengo lenu la kuwarudisha mateka kwa familia zao wakiwa hai?
Kiteknolojia, na kwa msaada wa Marekani, Israel iko mbali sana.
Na Gaza ni eneo dogo.
Lakini wakati mwingine mazingira yanakuwa hayaruhusu baadhi ya operations kulingana na malengo mliyonayo.
Israel ina uwezo wa ku carpet bomb Gaza yote. Haishindwi hata kidogo kufanya hivyo.
Lakini, mtu yeyote mwenye akili hawezi kufanya hivyo huku akijua watu wake ambao bado wako hai, wapo pia kwenye hilo eneo na yeye lengo lake ni kuwapata wakiwa hai.
Israel iliyoweza kupenya katikati ya Tehran na kumuua kiongozi wa Hezbollah, haishindwi kuisafisha Gaza nzima ambayo ni eneo dogo sana.
Hamas has provided signs of life for some hostages, the officials added
www.thejc.com