Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Utoto kafanye na watoto wenzako
Kobazi wapigwe mpaka waishe wote. Hata huku waje wawape kichapo dunia
Yeah dini ni ujinga ujinga ambao unaweza kutumika kukandamiza haki za wengine

Swali nje na mada kosa la Iran ni nini ?

NB:Vita sio kitu Cha kuweka ushabiki maandazi.
Najibu japo siyo mtaalamu wa hayo mambo. Iran inafadhili magaid so haitakiwi kuwa na silaha za nuclear maana ni hatari kwa dunia
 
Iran inaungwa mkono na Yemen na Afghanistan, nchii masikini
 
⚡️⚠️🇮🇷😒 Trump is in a panic as Iran has rejected the aggressor's ceasefire offer...
Several reports are coming in from the US that Trump, through Italian intermediaries, asked Iran to stop the war. Iran rejected the proposal.
It is also reported that Trump thought he could strike Iran within 4-5 days and decapitate Iran, leaving them no choice but to agree to Israel's demands.
 
Israel inawaka moto...
 
We nae tumekuchoka...tukitaka kujua huyo anasema uongo nawewe unasema kweli,tupimaje? Kwan unalipwa kiasi kwamba atakuharibia ulaji wako? Acha kila mtu alete habari iwe ya kweli au uongo! Au mtandao huu wa baba yako?
Jamaa anakera na huo msemo wake halafu haoneshi sasa wanapodanganya wenzake ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…