Watakuwa wamepigana wenyewe katika paniki ya kupambana na mashambulizi ya Iran.F-15E imekula chuma Kuwait.
Ina maana Iran inalenga ndege hadi kuwait?
View: https://twitter.com/i/status/2028344374900203810
Leta hio video ya mwandishi akipigwa bomuNi wapi tumeruhusiwa kusema uongo!?
Hoja zimekushinda unakimbilia udini!
Nitafakari kwa kina chenye depth gani wakati rekodi zipo, msizanie vita ni sindimba,Hamas na silaha zao za kuungaunga imekatika zaidi ya mwaka na nusu na bado Hamas wapo na mashambulizi yao ya kuvizia. Unapayuka kama mmenyeshwa maji ya chooni,yani umpige adui kwa asilimia 85 halafu uombe msaada kwa NATO, yaani unacho ongea haki make sense.Mkuu unaongea ukiwa umetafakari kwa kina au swaumu ya leo imekuwa ngumu?
Iran hatafuti ushindi bali analihami taifa lake.Kuna mtu ana amini Iran atashinda vita?
Iran imeshambulia kituo cha mafuta Saudi Arabia
Ndio mpango wao wa siri huo, kwamba Iran ikiwa inaendelea na mashambulizi, France, Germany, UK n.k wafuatie.. na atakuwa anaingia mmoja baada ya mwingine. Hii ndio ilikuwa agenda yao. Maana uwezo wa Iran kijeshi ulitishia EU yote kwenye 12 days war.Rais wa France anawanda wananchi wake kwa uwongo eti Iran inashambulia vibaya sana marafiki zetu US na Israel na hatuwezi kukubali maslaha yetu yaathirike hapo ni wazi wamekiri US na israel peke yao hawamuwezi Iran.
Rais wa Faransa anaendelea na uwongo eti tunaingia kuwasaidia wananchi zetu hahahaha
View: https://youtube.com/shorts/i1kB9O76WYE?si=KPnV8bujnxCtTVbt
Na ni anaweza akasema hivyo ili kuwatia Iran moyo hasira yao ishuke baada ya kupewa kipigo kizito sana cha viongozi wao na miundombinu ya kijeshi.Hamna sehemu waliyotoa figure mpaka sasa, zaidi ya propaganda ila ukiona mpaka mkuu wa nchi kaongea hivyo,kaa ukijua idadi ya waliangamizwa ni ngumu kuificha na ni kubwa.
Watu wengi hawajui hiko kitu wanakalia ushabiki wa kijinga wa kidini,Iran anapambania taifa lake, Iran wanamchezea sababu hana Nuclear anagekuwa nayo kama North Korea wasinge sogeza pua wangeishia kwenye vikwazo.Iran hatafuti ushindi bali analihami taifa lake.
We jamaa huu Uzi haukufai kila mara unaluja na fake an unconfirmed reports
Huja jamaa huu uzi haumfai yeye anaokota tu habari yeyote bila kuthibitishaUmeanza na huku kuleta habari zako za kuokoteza kutoka vyanzo visivyoaminika..!!
Hii vita haitaki uchawa iko live..!!
Ndege 200 unazijua ndege 200? Sasa hayo mabomu waliopigwa US kwenye kambi zake za middle east yalipita ardhini?.yaani unavyo ongea hata huvipimi.Na ni anaweza akasema hivyo ili kuwatia Iran moyo hasira yao ishuke baada ya kupewa kipigo kizito sana cha viongozi wao na miundombinu ya kijeshi.
Hadi sasa, Iran ameshapoteza sana saana kuliko US na Israel na ataendelea kupoteza sana.
Anga lake tayari limeshakamatwa, adui ana uwezo wa kumpiga popote pale atakapo. Ndege zaidi ya 200 zipo katika anga lake, huu ni udhaifu mkubwa sana. Ni kama US anaamua kumpiga huku anatulia, hataki kumpa kipigo kizito cha mara moja, anapiga kisha anamsoma Iran. Kwa hali ya anga la Iran kukamatwa, ni kipengele ambacho Iran kimeonesha haitaweza kushinda haya mapigano.
We jamaa hebu acha mada za kitoto.Lincoln haijapigwa kwa shambulio lolote, meli ipo active ikiendelea na majukumu yake.
Unafahamu lakini ulinzi wa hizo Aircraft carriers?
Kati ya anayefikiri kuwa USA hakutegemea respond kubwa hivi na anayefikiri USA alitegemea respond pengine zaidi ya hapa nani ameunderestimate uwezo wa Iran?Hivi unaona US ni miungu watu kwamba wakipanga lolote linafanikiwa? kwamba wakishapanga tu lazima wafanikiwe?
Kauli zako zina underestimate sana uwezo wa waajemi...
Haijalishi walifahamu ama kutofahamu, intel huwa zinafeli, haijalishi ni US ama Russia... Trump an wenake ni watu kama wewe, wanakunya na wana mapungufu kama mwanadamu yeyote, hakuna u special wowote, same to waajemi na Israelis.
Unataka kulazimisha hoja kwamba kama US wakipanga mkakati basi ni ngumu kufeli, kitu ambacho historia inakataa.
US na Israel kufeli kwenye hii vita ni kawaida.
!2 days war waliishiwa interceptors, walishindwa kuangamiza nuclear facility na material yaliyomo, Iran bado ana nuclear kaificha, walishindwa pia kufanya regime change.
We ndio hutafakari ndege mia mbili unazijua wewe? Labda kama matoi, Iran anarusha mesile kwenye kila direction aitakayo, unafanya masihala kushikilia anga. Hebu vipime unavyo viongea kabla ya kuvipost.Mkuu unaongea ukiwa umetafakari kwa kina au swaumu ya leo imekuwa ngumu?
Aisee, hebu tuone videos hizo ndege zinavyopita, ni aina gani kwanza ?Ndege 200 unazijua ndege 200? Sasa hayo mabomu waliopigwa US kwenye kambi zake za middle east yalipita ardhini?.yaani unavyo ongea hata huvipimi.
Unalikamtaje anga, wakati mesile za Iran zina uwezo wa kuzipiga kambi zako na maeneo ya washirika wako?
Kuna asilimia kubwa kwamba hawakutegemea hizi hatua za Iran kwa sababu huko nyuma wamesha ua viongozi wengi wa Iran lakini Iran ikafanya mashambulizi ya kujizuia ili kuhepusha mzozo mpana lakini wakati huu hali imekuwa tofauti kabisa kwani Iran imeamuwa liwalo na liwe sasa anaichoma mashariki ya kati nzima.Mategemeo ya majibu huwa yanaandaliwa kabla ya uvamizi boss, USA kabla haijaivamia Iran tayari ilishategemea possibility za wivango vya respond, labda uhoji timeframe ya majibu ila si kutegemea kutokujibiwa kwa kiwango hata zaidi ya hichi na nchi kama Iran. Tena hapo washirika wa Iran wametulia, ikitokea wameingia utasema tena USA hakutegemea hilo na wakati ni possible? Ukiivamia nchi ndogo ya Africa halafu ikajibu kwa ukubwa kuliko uwezo uliodhani wanao ghafla Russia karespond, China karespond hapo utasema haikutegemewa, ila Iran, lolote linawezekana, hata WW inaweza ibukia humo humo.
Ndio maana na kuambia unapayuka.Lincoln haijapigwa kwa shambulio lolote, meli ipo active ikiendelea na majukumu yake.
Unafahamu lakini ulinzi wa hizo Aircraft carriers?
Ndo alivokwambia?Anachofanya Irani kwa sasa ni kupiga kwa kutumia chochote alichonacho na anapiga popote anapohisi panafikika, maana yuko kwa sasa yuko kama simba aliejeruhiwa!
Kuna muda utafika ambao si mrefu sana ataishiwa makombora alafu atabaki kulialia tu.
Mimi namuona mjinga maana anatumia stock yake ya makombora kupiga target zisizo na faida.
Unajidanganya bure ndugu!Cyprus kwenye kambi za UK ni target zisizo na faida!??
Iran ameshasema anasafisha missile stockpile ya zamani bado hajaanza kutumia mpya.
Hao tangu utawala wa Kishia uundwe wamekua wanajiandaa na vita.
Jiulize kwanini hawakuishiwa silaha katika vita ya MIAKA NANE DHIDI YA IRAQ!?
Hao wana uzoefu wa vita za miaka mingi.
Vipi wewe ulieko field hali ikojeNdo alivokwambia?
Au ndo msemaji wa serikali ya iran?