Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ukweli ni kwamba vikosi vingi vya west middle ni chanzo Cha migogoro hapo middle east.Na ukifuatlia Kwa undani vipo Kwa sababu ya maamuzi ya wanasiasa wenye maslahi binafsi katika mataifa ya west.
Nakumbuka sana wakati huo JWTZ pamoja na majeshi ya Malawi,Zambia na South Afrika ( kama sijakosea) walileta heshima kubwa sana.Lakini Kwa kilicho tokea mwaka 2025 ilikuwa aibu kubwa sana PK niwakufanyia Sarcasm ya namna ile kweli! Hakika mambo Yana badilika Kwa kasi sana.

Ile prestige na respect imeshuka sana
 
Nilijua tu Iran ndiye anapiga ndege hizo..
Eti friendly fire, ina maana hizo ndege hazina IFF(Identification Friend or Foe).
Hii issue naifananisha na kilichotokea vita ya Pakistan na India, wame under estimate range ya hizo Air defence, na sitashangaa kama Mchina kahusika hapo, maana Leo asubuhi same time Hilo tukio linatokea Ndege za Muiran zimerekodiwa kwenye Anga lake
Mig na yak
 
Wewe ulitakaje?
 

Hizi propaganda la anga kukamatwa kila siku ya vita ya Iran na Marekani naziskiaga,nilishazisikia 2018 lakini Iran wakashambulia kambi za Marekani Iraq,nilishazisikia 12 days war lakini mashambulizi yanaendelea na hata leo na muda tunaongea Iran anaendelea kushambulia..Sasa mtu unatawalaje anga yake na anaweza kuendelea na mashambulizi ya makombora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…