Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

come again...?
 
Ni sawa mkuu.
 
Huo ni mtazamo wako.
Urusi ana sera zake na Iran ana sera zake.
Sera ya sasa ya Iran ni kuvunja ushawishi wote wa USA uliopo mashariki ya kati.
Na nikasisitiza pale mataifa mengi ya gulf state raia wao wanafurahia kinachotokea kwasababu hawapendi ushirikiano wa USA na mataifa yao.
-Lebanon hiyo ni kesi ya kisiasa za ndani zaidi,wapo wanaounga mkono Hizbollah kwa kiasi kikubwa na wapo wanaopinga.
Unadhani hao Lebanon wanaipenda Israel!??
Ni mara ngapi Israel imewaonea na Hizbollah ndio imewatetea!?
Sera yao ya sasa Iran washasema wanataka kuondoa uwepo wa USA mid east.
Hiyo kusema kuwa ni last kick of a dying horse huo ni mtazamo wako.
Wao wametangaza wanataka kuondoa US influence.

Kwahiyo ni sahihi kwa gulf states kuunda njama dhidi ya Iran!??
We unaona ni sawa!?
Iran amewakosea nini hao waarabu hadi waunde njama na USA dhidi yake?
 
Ila hao CENTCOM ni waongo balaa, majamaa yanapika habari..
F-15E tatu zimepigwa na US wanasema ni friendly fire, haya sasa Iran wamesema ni wao

Ukiangalia hizo ndege zinapigwa kwa interval.. kama ilipigwa ya kwanza si wangerekebisha hilo tatizo? ikapigwa ya pili, ikapigwa ya tatu... eti zote ni friendly fire...
 
Vimekolea hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…