hivi wewe unafikiri kumuua ayatolah na waziri wa ulinzi na viongozi wa juu zaidi ya 40 ilikua ni kazi ndogo?Sawa kuna tiketi za bure hapa ukaishi kwenye kambi za Marekani, wenzako wanakimbia huko, wewe huku unajitutumua ni vita ya maneno. Lincoln imekimbilia India, Ndege nyengine zimekimbilia Cyprus etc. kama maneno Yana nguvu hivi then Iran watashinda kwa maneno yao.
Hivi haka kamtaa kana nini mbona huwa kana pigwa sana inapotokea vita?Beersheba inawashiwa moto muda huu!
-Ayatollah Arafi "Usiku wa leo kutashuhudiwa historia kubwa na mpya ya kivita mashariki ya kati".
Kuna mambo hayahitaji hata kuandika. Social media zimejaa account nyingi zinazotafuta followers
Ngoja tusubiri mkuuMungu awasimamie yapige target inshallah!
Inasemekana Netanyahu ana kamchepuko kake hayo mazingira!Hivi haka kamtaa kana nini mbona huwa kana pigwa sana inapotokea vita?
Hii ndio nyumba ya Ayatollah kama ulikua hujui, ameuliwa nyumbani kwake.hivi wewe unafikiri kumuua ayatolah na waziri wa ulinzi na viongozi wa juu zaidi ya 40 ilikua ni kazi ndogo?
Largest Air Force attack ever: 200 Israeli jets strike some 500 targets in Iran | Watch
Largest Air Force attack ever: 200 Israeli jets strike some 500 targets in Iran | Watch
The coordinated operation targeted missile launch sites and advanced air defense systems in western and central Iran, aiming to expand air superiority and reduce the threat to Israelβs civilian populationwww.ynetnews.com
Sawa ila mimi nimeongea kwa Muktaza wa Trump ni ngumu kwa mkuu wa nchi yenye nguvu kama US kuongea vile na tena wakati vita ikiendelea kwangu ndio mara ya kwanza.hilo suala la kuficha taarifa halisi za vita ziko kila sehemu, hata urusi anaficha taarifa zake...huyo iran ndo kabisa usiseme ndo anazima hadi intaneti ili kuzuia taarifa zake zisisambae..sasa anayezima intaneti na ambae hazimi nani ana afadhali?
Na inakuwaje Israel inaruhusu makombora kuingia kwenye anga yake licha ya mifumo ya ulinzi iliyo jazana kwenye ardhi yake?Aiseee
Ila Iran inakuwaje anaruhusu ndege za wengine ziingie anga lake?
Aisee nashindwa kuelewa.Hivi haka kamtaa kana nini mbona huwa kana pigwa sana inapotokea vita?
Wameomba Iran isipige maeneo ya kihistoria ya kidini ikiwemo JESUS TOMB na huo UKUTA.Kuna haka kaukuta ambako mabwenyenye wanaendaga Israel kukabusu!
Hakajafikiwa na heipasoniki bado!?
View attachment 3551205
Ndo mambo mnayoyaweza hayo huko uarabuni.Aende wamfire hadharani.