Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hindustan Times na Times of India ni vyombo vya habari vyenye miaka zaidi ya mia, sio Millard Ayo na reputation zao ni kubwa.
 
Acha ujuha ile ilikuwa shambulio la kushtukiza ndio maana likamkuta hapo mbona ile ya siku 12 zote ziliisha akiwa ardhini
 
Vita haijaisha labda vita ya kwenu Nantumbo.
Lengo la Israel na Marekani ni REGIME CHANGE. Je Reza Pahlavi ameshawekwa kwenye kiti cha uongozi Iran!??
Imagine πŸ˜„

Wanasangilia kufa Kwa Ayatollah it's okay , Je regime of changes imeshafanyika !? Imefanikiwa !?
 
Hizi rumors za Netanyahu kuuwawa zisiwe kweli kwa maana hali itakuwa mbaya sana, vyombo vya habari vingi vya India na Online Magazine zimeripori hizi rumors.
Nadhani ni uvumi tu atakuwa salama tu Netanyau sio mjinga kukaa sehemu inayo julikana.
 
So Trump anasemaje kuwa vita imeisha wakati utawala uliopo Iran haujatolewa madarakani!? Ai mini ndiye sielewi maana ya regime of changes!? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…