Kuna kambi zao mbili huko Galilaya zishatiwa kibiriti na Hizbollah.Mpaka sasa Israel inakwenda kufeli hii vita, maana ground hawana uwezo kupambana na Hezbollah.
Unadhani utani mkuu?Duhh 😄
Myahudi usimuamini ata kidogo ni waongo sanaaaSiwalisema in two weeks mchezo utakuwa umeshakwisha !! ?
We nae vitu vingine vinakuzidi uwezo, toka vita vinaanza humu watu wanaongea namna Ndege zinavyohamishwa kuanzia Lincolin Hadi sasa zimeenda Cyprus, spain kakataa kutumika, Uturuki kakataa etc. then wewe unahisi Ndege zinatokea Israel, Huko Israel hata vita ya Hamas walizihamisha Ndege zao, ni rahisi Sana kuipiga Ndege ikiwa imepaki.Iran watumie hizo hypersonic kuharibu airbase za Israel tofauti na hapo kazi wanayo
kama wanaweza kupiga makazi ya watu,kambi za jeshi za USA wanashindwa nini kuzuia ndege za Israel?
View attachment 3551590
Kuongopa hakukuletei faida. Viongozi wakubwa ikiwemo Alireza na Ally Larijani wapo nje kama kawaida hakuna aliyejificha.Acha mambo yako yaani wamelenge msemaji kama msigwa tu, hizo press na matembezi afanye kiongozi wenu mpya au mwenye madaraka kama anavyofanya netanyahu kwa waganga!!
Kiongozi wenu tangu achaguliwe yuko shimoni hajawahi ona hata jua maana siku akiliona amekwisha😎
kwanza mwanzo mlisema ayatola kapelekwa sehem salama, mlivoona ameliwa kichwa msemo ukabadilika, eti anaishi kama alivo wananchi wake, wavaa kobazi hamkubali kuzidiwa hoja nyie. ameuliwa yeye. mke wake hadi na wajukuu wameliwa kichwa. kama hakuna tech yeyote ya kisasa ebu jaribu wewe tukuone... rusha hata kombora moja tuone litatua wapi. kuua vio gozi 48 kwa mpigo unafikiri ni jambo la kawaida sio? hiyo ni akili boss hiyo sio ilimu akhera... ni ilimu dunia hiyoo sheheeHii ndio nyumba ya Ayatollah kama ulikua hujui, ameuliwa nyumbani kwake.
View attachment 3551201View attachment 3551202
View attachment 3551207
Hakuna tech yoyote ya kisasa ama ujuzi wa maana kumuua, angetaka angekaa kwenye bunker ama Chini ya milima huko angekua salama, Ila hajataka kataka aishi kama wanavyoishi wananchi wake.
Mzee wa miaka 86 ambaye kapooza mkono mmoja na ana cancer kwa miaka 10 sasa.
Mkuu upo sahihi sana.Trump kwa mtazamo wa body language yake:
Hawezi kujiondoa.
Hawezi kuzungumza na Iran, wameshaona negotiations zinawafanya waumie zaidi na hazina faida kwao
Hawezi kushinda vita hii., atashinda battle lakini siyo total war, kama ilivyotokea amepoteza support ya allies wake, EU wanamchora kwa mbali
Hawezi kusimamisha vita hii, ni aibu kujitoa kwa sasa
Hawezi kufanya mabadiliko ya utawala.
Unamtoa Ayatollah mmoja anaingia Ayatollah mwengine, wako zaidi ya 20 wameshaandaliwa
Amenaswa katika vita hii na Iran, hana end game zaidi ya kutegemea uprising ya wananchi wa Iran kuung’oa utawala uliopo kitu hakijafanyika mpaka sasa
Hii ndiyo hutokea unapomdharau adui yako.
Iran imevunja kiburi chake kwa makombora na ndege zisizo na rubani chache tu. Licha ya sifa za Iron Dome bado makombora yanatesa Israel na hizo base zake ambazo kwake zilikuwa first line of defence kwa early warning na kutumika kama refuelling stations na complex strategic fronts
FUNZO: Usimdharau kamwe adui yako, bila kujali wewe ni mwenye nguvu kiasi gani
Mfano US vs Vietnam, US vs Somalia warlords kina Gen Aided na Afghanistan vs USSR na hiyo ya Israel na Hamas walimaliza kwa mazungumzo kupata mateka
Kama wanalenga Hadi watangazaji wa TV na Radio wataacha msemaji wa Serikali? Vita ya Gaza Tu wameua waandishi wa habari zaidi ya 100Acha mambo yako yaani wamelenge msemaji kama msigwa tu, hizo press na matembezi afanye kiongozi wenu mpya au mwenye madaraka kama anavyofanya netanyahu kwa waganga!!
Kiongozi wenu tangu achaguliwe yuko shimoni hajawahi ona hata jua maana siku akiliona amekwisha😎
ucha uongo kijana, kwamba unaamini siraha zote za Israel zimehamishwa kwenye base zote za IsraelWe nae vitu vingine vinakuzidi uwezo, toka vita vinaanza humu watu wanaongea namna Ndege zinavyohamishwa kuanzia Lincolin Hadi sasa zimeenda Cyprus, spain kakataa kutumika, Uturuki kakataa etc. then wewe unahisi Ndege zinatokea Israel, Huko Israel hata vita ya Hamas walizihamisha Ndege zao, ni rahisi Sana kuipiga Ndege ikiwa imepaki.
Eh watu hawaui sababu sio kila MTU ana roho mbaya kama nyie, kila MTU hapa jukwani ana uwezo huo ila watu ni wastaarabu.kwanza mwanzo mlisema ayatola kapelekwa sehem salama, mlivoona ameliwa kichwa msemo ukabadilika, eti anaishi kama alivo wananchi wake, wavaa kobazi hamkubali kuzidiwa hoja nyie. ameuliwa yeye. mke wake hadi na wajukuu wameliwa kichwa. kama hakuna tech yeyote ya kisasa ebu jaribu wewe tukuone... rusha hata kombora moja tuone litatua wapi. kuua vio gozi 48 kwa mpigo unafikiri ni jambo la kawaida sio? hiyo ni akili boss hiyo sio ilimu akhera... ni ilimu dunia hiyoo shehee
Usinilishe ambacho sijaongea, umezungumzia Ndege comments kibao zilizopita, hayo ya Silaha umeyatunga sasa hivi.ucha uongo kijana, kwamba unaamini siraha zote za Israel zimehamishwa kwenye base zote za Israel
Kwanini mnakua wepesi hivyo kudanganywa au tayari upo na mahaba ya upande mmoja, mnabisha kama mlivyo bisha kwamba ndege za Israel na marekani haziingii kwenye anga la Iran😀
Acheni propaganda nyie I'm watching Al Jazeera wameonesha ubalozi hapo Riyadh hio drone imesababisha minor damage na moto mdogo ambao ushazimwa.
Weka picha za huo Moto mdogo na minor damageAcheni propaganda nyie I'm watching Al Jazeera wameonesha ubalozi hapo Riyadh hio drone imesababisha minor damage na moto mdogo ambao ushazimwa.
Ha ha ha kuna vituko humu jukwaani 😀😀😀We nae vitu vingine vinakuzidi uwezo, toka vita vinaanza humu watu wanaongea namna Ndege zinavyohamishwa kuanzia Lincolin Hadi sasa zimeenda Cyprus, spain kakataa kutumika, Uturuki kakataa etc. then wewe unahisi Ndege zinatokea Israel, Huko Israel hata vita ya Hamas walizihamisha Ndege zao, ni rahisi Sana kuipiga Ndege ikiwa imepaki.
Sina huo muda ndugu naangalia news then naendelea na mambo mengine. Fahamu tu huo ubalozi umeoneshwa kwenye Al Jazeera news.Weka picha za huo Moto mdogo na minor damage