Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sawa Jeremy Diamond.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel imeshambulia kwa makombora jengo la mkutano wa wataalamu huko Qom.
 

Attachments

  • 2026-03-03_17-42-54_0.mp4
    730.9 KB
Iraq peke yake kuna vikundi VINNE vinavyoisapoti Iran.
Na vina askari sio chini ya elfu 50.
Ile michezo ya ugaidi wa ISIS na alqaida this time won’t work, wana dawa yake sasa,tech waliyomkamatia Madulo chumbani kwake na kumla kichwa Ayatollah, yule drug cartel na mahandaki ya hamas ni next level, wana high precision satellites na artificial intelligence, mtadunguliwa vichwa wote na msijue nini kimetoke, rudini mezani au mtafanywa kama hamas
 
Yaani wewe unajua kuliko KSA.
Kwani watu wakienda kwenye vita Wana asses hayo? Kama Trump ambayo watu Wana remote wanam control na MBS pia hivyo hivyo. In short wote hao kwenye Epstein list kuna watu Wana remote zao wkiambiwa ingia kwenye vita wnaingia, unless kutokee upingamizi kwenye Familia apigwe chini.
 
I have something to ask

So hayo Ma- iron dome Yana faida Gani Sasa kama nayenyewe Yana bondwa hovyo kama mandonga!? 😁😁😁

Huwa wana testia wapi hiyo mitambo then wanakuja kuiaminisha Dunia kwamba Ni air defense mechanism..!?

Now Iran ana wauliza it's Air defense mechanism for whom?? 😁😁
 
Jimbo la Jirash limekumbwa na tetemeko la magnitude 4.3.
 
Ndugu yangu naomba nikuhakikishie kua Urusi na china Iko bega kwa bega na Iran,haya mafanikio yote ya Iran ni Kwa msaada mkubwa wa china na Urusi.
Amini nachokuambia.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imeshambulia kwa makombora eneo la Resalat Tehran kwenye jengo la makao makuu ya jeshi la Iran
 
Hivi unajua US Iraq peke yake ametumua USD 3T bado hujawazungumzia washirika wake wa NATO.

Nimetoa mifano halisi unaleta assumptions, vita sio Sindimba Hamas wale mwaka mmoja na nusu, wanatumia silaha za kienyeji Myahudi anatech za kila aina,katumia mwaka mmoja na nusu na bado Hamas bado wapo, vita sio sindimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…