Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hivyo vikundi unavyosemea VYOTE vinaunda silaha za kisasa kama Houthi.
Jana wamelipua Erbil airbase hao Marekani wenu walikua wapi na hizo silaha za teknolojia ya juu!?
Hivyo vikundi unavyoviona vina walau 70% ya uwezo wa silaha kama Iran.
Wewe kaa jidanganye.
 
Unadhani utani mkuu?
Katizame video mitandaoni rais machozi yanamtoka.
Palipojengwa bunker kumetitia chini shimo.
Watu wamekufa vibaya sana ile sehemu.
Aisee πŸ™Œ
 
Waambie Yemen wajitayarishe nao
 
so far hakuna airdefense system duniani ambayo inazuia makombora kwa asilimia mia..
 
Video zina circulate Iran ikiwa inatoa makombora mapya kwenye mahandaki ya Tabriz.
walidai Iran imekatikiwa ila naona ni tofauti.
Propaganda video ni kama zile drone zinapiga kelele kama bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…