Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

we jamaa ni muongo sana, Iran kwenye jeshi la maji wapo vizuri sana wa submarine hadi drone career ambalo nalo limekula kipigo jana... Nenda Google kasearch SHAHEED BEQERI
 

Attachments

  • MELI MAALUM YA KUBEBA DRONES YA IRAN _SHAHEED BEQERI_ YAPIGWA___Meli maalum kubwa na iliyokuwa...jpg
    43.1 KB · Views: 15
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Taarifa isiyo rasmi inasema waziri wa ulinzi Majid Ibn Reza ameuwawa. Huyu alikua mpya akichukua nafasi ya Amir nasirzadeh ambae aliuwawa. Sio taarifa rasmi, mpaka Iran watapothibitisha au jeshi la israel watapothibitisha
 
Nimeipima Mossad kwa uwezo inaodaiwa kuwa nao kwa pale Gaza, je mateka 200 waliwapata, wao si wakali wa ujasusi? Hamas wana fedha yeyote , Palestine ni masikini, je mateka walipatikana?
 
Iran hatari sana tena sana kufikia sasa vilio kila kona kwenye Nchi 9+
sasa Iranian wapo ndani ya mipaka yao yani ndani ya Iran wanacheza Draft tu na vitufe vyao!!

uku watu wanalala airport

wengine bado wanazima MOTO

wengine tayali ni marehemu wapo kwenye Masanduku

daaa tulidanganywa sn kwa miaka na miaka eti ndio super power

Yani kichekecho kwanza wamevizia watu kwenye mkutano wao wakawapiga boom πŸ’₯ kisha ndio wanatangaza Vita!!!!

JE huu sio uwoga.!!!!!
Kwann wasitangaze Vita kwanza kiume kweli!!!

Pamoja na kuviziia lkn Sasa ukweli ni Majeshi ya Marekan ndio yanakimbia kambi zao
Iran shikamoooooo.
 
Hii inaitwa, NITAKUPA KIPIGO MPAKA WATU WASEME NI AI.

View attachment 3551893
Kmmk.
Hio ni cluster sub-munition... kombora moja linatoa makombora mengine kama mvua..
Ndio hizi Iran alizipiga kidogo tu kuwaonjesha , media za Israel zikasema anavunja makubaliano ya Geneva convention.. sasa nikajiuliza huyu huyu myahudi aliyeipiga Gaza kuua maelfu leo amekumbuka hadi masuala ya haki za binadamu.
 
we jamaa ni muongo sana, Iran kwenye jeshi la maji wapo vizuri sana wa submarine hadi drone career ambalo nalo limekula kipigo jana... Nenda Google kasearch SHAHEED BEQERI
Inaitwa Bagheri na sio Beqeri pia ni Meli ya makontena imewekwa sehemu ya Helicopter kutua juu nothing fancy. Kama unamaanisha hizo Meli za kawaida wanazo, huwezi Ku classify hio kwenye same sentence na manowari ama Meli nyengine za vita.

 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imeshambulia kwa makombora payam airport karaj. Milipuko mikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…