Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Jeneral wa Iran akizungumza kutokea Zinga Bagamoyo.
 
Kati ya hizo ndege 150 Iran kaangusha ngapi? Oops kuna mtaalam mwenzio alisema haziingii anga la Iran zinapiga kwa nje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wanaingia nimeona video Air defence za Iran zikizikimbiza hizo ndege za US na Israel.
Ndege nyingi bro.
USA na Israel nao wajanja wana overwhelm ADS za Iran kwa kupeleka drone nyingi na ndege vita nyingi.
-Hakuna credible source iliyo validate taarifa ila wanadai drone za hermes 900 zinadondoshwa kwa wingi. Kwa ndege wame claim 10. Wao Iran ndio wame claim.
 
Mkuu sijaelewa hii. Unasema Iran wameangusha ndege 10? Nina uhakika Iran hawawezi kusema hivyo
 
πŸ’₯
Mkuu RRONDO unaona sasa hivi updates sio nyingi. Sababu Iran hajashambulia Israel, na huko Iran muda huu marekani na Israel wanafanya mashambulizi Ila internet hakuna kabisa kwa hiyo taarifa zinakuja kwa ugumu
Huku Tz tuombe amani tu. Tusianzishe vita hata na Burundi. Vita ni gharama kwa maisha na rasilimali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…