MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Ila hii sura mbona imekaa kikauzu. HuyoNetanyahuβs son relaxes in Miami as US troops sent to die in Operation Epstein Fury
Yair Netanyahu, 34, sat out every single Israeli war since 2023 (Gaza, Lebanon, Syria, Yemen), and has no plans to make Iran the exception.
As Israeli reservists are called up for their 5th, 6th or 7th tour, and US troops deployed so long theyβre fathering children who grow up to take part in the same war, Yair is fine where he is, living in a luxury apartment in Hallandale Beach, loafing on his balcony and spending time with friends, and enjoying Israeli (US taxpayer)-funded Shin Bet protection.
Howard Stoffer, a former White House insider told The Express Yairβs Miami lounging is risky business.
Jamaa anataka humu tumuamini yeye tu utadhani yupo uwanja wa vita.....Upo location gani hapo iran?
Sera ya irani ya vita inasema usitushambulie kwanza. Maana uwezo wa kuanzisha vita unao. Lakini huna uwezo wa kusimamisha au kumaliza vita. Hawa jamaa wana missiles city na wameakua wakijianda na vita kwa mda mrefu sababu wana uzoefu mkubwa. Wewe mwenyewe ni unajua aliyeomba cease fire kwenye ile vita ya siku 12 ni fake Jewish wanaoikalia Israeli. Mpaka Trump alikubali kabisa Kuwa Israel alipewa kipigo kikubwa mno.*IRAN DENIES INTELLIGENCE MINISTRY REACHED OUT TO CIA FOR TALKS*IRAN'S SEMI-OFFICIAL TASNIM CITES MINISTRY SOURCE ON NYT REPORT
Wanataka kupitia mlango wa nyuma
Yamerukaje na mmesema anga lote Iran lipo limezingirwa?π₯π₯π₯π₯
King'ora cha tahadhali kimelia, Iran imerusha makombora kuelekea Israel muda huu
View attachment 3552289
Israel media ipi hiyo?US fighter jet downed near Tehran, Israeli media reports
Trump anataka kupitisha Bajeti ya Dharura ya defence na ana kikao na Lockheed Martin, definitely kajiandaa sio?Naona unajitahidi kutafuta faraja. Kwahio wewe unafikiri USA hawajui capacity ya Iran kiasi wamchokoze bila enough weapons? Yaani wachambuzi wa Tz mnajua kuliko walioanzisha vita.
Unaweza kuta huyo ndo mwanaume na anayesemwa mwanaume ndio mwanamke, sio mambo ya kushangaza kwao.Ila hii sura mbona imekaa kikauzu. HuyoView attachment 3552361
Ni mke wa Netanyahu kama sikosei anaitwa sarah. Hawa ni wazungu pure wanaoendelea kudanganya na kupumbaza watu wengi kama Echolima1 A.K.A choo cha kulima. Bila kujua ni wazungu wa ulaya ambao ni fake Jewish.Ila hii sura mbona imekaa kikauzu. HuyoView attachment 3552361
Lakini mkuu kuna ukweli, PAC-3 interceptor moja ina cost mpaka $5 Million.Naona unajitahidi kutafuta faraja. Kwahio wewe unafikiri USA hawajui capacity ya Iran kiasi wamchokoze bila enough weapons? Yaani wachambuzi wa Tz mnajua kuliko walioanzisha vita.
Unasema kweli basi vizurπ₯π₯π₯π₯
Waziri wa Vita wa marekani: hakuna tena jeshi la anga la Iran lilijengwa toka 1996 tumekuja kulimaliza 2026. Jeshi la majini tumelimaliza, Jana usiku tulishambulia na kuimaliza meli yao ya maana "the soleiman" .
Hakuna kitu unachojua kuliko walioanzisha vita. Wewe endelea kutafuta faraja kwa kipigo anachopewa Iran. Ndio kwanza siku 4 hawategemei vita iishe ndai ya wiki.Trump anataka kupitisha Bajeti ya Dharura ya defence na ana kikao na Lockheed Martin, definitely kajiandaa sio?
Iran kuna wayahudi wengi kuliko nchi yeyote middle East ukiitoa Israel, kuna synagogues zao za kuabudu na kuna makanisa mamia.
View: https://x.com/Osint613/status/2029204896621199713
Wairan wengi sana hawaipendi Serikali yao.
Jamaa wanauza Ramani kila siku
Na wewe unajua kuliko walioanzisha vita. Yaani US na Israel wakurupuke bila kujua capacity ya Iran kiasi kwamba siku ya 4 waanze kuishiwa interceptor! Kweli wachambuzi wa Bongo mnajua kuliko wanaopigana vita huko.Lakini mkuu kuna ukweli, PAC-3 interceptor moja ina cost mpaka $5 Million.
Inawezekana either wameona PAC 3 interceptor zinaelekea kuisha , ama wameona wabakize zilizobakia kwa ajili ya emergency.
Maana PAC-3 ni noma hio, ipo very advanced, hio ni hit to kill, ina maana inagona target direct na ina mlipuko kidogo, inafanya kinetic impact.
Ikataka kuangusha missile ni mpaka igonge hio missile na kuiharibu, ni utaalamu wa hali ya juu sana huo ambapo hata Iron dome haipo hivyo.
Iron dome yenyewe huwa ikakaribia target, inajilipua na kupelekea target kuharibika, interceptor ya iron dome ikikaribia kabisa target ina sensor, inajilipua na missile inaharibiwa. Lakini PAC-3 ni mpaka igonge missiles physically.
Ni kama mtu akulenge na manati, kipindi jiwe linakuja na wewe ulenge na manati ili kuzuia jiwe linalokuja, you can imagine unahitaji usahihi wa kiasi gani na shabaha ya kiasi gani. Hio ndio Patriot PAC-3. Iron dome haifikii hapo. Ina precision guidance system ya hali ya juu sana.
PAC-2 yenyewe ndio inalipuka karibu na target kama ilivyo iron dome.
Kwenye kulenga makombora yenye kasi ya juu sana PAC-3 sio mchezo.
Na Iran hivi sasa lengo lake kusababisha interceptor wanaishiwa, maana hata PAC-2 interceptor bei yake haijapoa ni $1 Million - 2 million usd.