Mateka wote walioko ole wa na Hamas walishindwa vita waliyoianzisha wao. Entente yes waliwafuata IDF hawakariri na hawana njia moja wana njia nyingi sana za kukomboa watu wao na kuwaangamiza maadui zao!!Sawa sawa director wa mossad.
Kama walikuwa wanafahamu walipo walishindwa kuwafuata?
Mbona operation Entebbe walitoka Israel hadi UG kuwachukua mateka?
Kwa hio Iran imejiandaa leo asubuhi?Hawa wanadhani kuwa hii vita Marekani kajiandaa jana
Article ina predict stock ita run low in days or weeks. Hakuna cha ajabu kwasababu wako vitani na zinatumika kila siku. Sasa inakuwaje mshangae kuomba emergency budget wakati wako vitani? Yaani wewe unafikiri US army walikuwa hawajui kuwa interceptors zitahitaji kuongezwa?Atleast mwenyezi mungu kanipa Akili kujua hapa MTU kakurupuka ama ni plan ya toka mwanzo.
Vipi na kule Israel si tulizoea kuona iron dome kila saa, mbona sasa hivi hatuzioni tena? Yakipigwa mabomu unaona Tu interceptor moja ama mbili.
Vipi na Bloomberg chombo kikubwa cha Marekani cha biashara ambacho kinajua kushinda wote humu nao mbona wanasema hivyo hivyo?
View attachment 3552400
Source
Na hawana Article moja zipo kibao ndani ya siku 2.
CynicalNyie tushawazoea mkipigana na Israel taarifa ni wanawake na watoto tu!!
Hapa wewe napo uliandika nini? "Pia unapaswa kujua hata Iran waliipiga ban Al Jazeera kwa zaidi ya mwaka""kupigwa ban kawaida Ila haijaondolewa" Mkuu hiki umeandika nini? Inawezekana kingereza kigumu ngoja nikuandikie hivi
CNN na BBC hazirihusiwi kufanya kazi Iran, au ngoja nikuandikie kama ulivyoandika wewe, CNN na BBC zimefukuzwa Iran
Achana na nani kaanzisha vita, inajulikana Israel ndiye anatesa Palestinians hapo miaka na miaka...Mateka wote walioko ole wa na Hamas walishindwa vita waliyoianzisha wao. Entente yes waliwafuata IDF hawakariri na hawana njia moja wana njia nyingi sana za kukomboa watu wao na kuwaangamiza maadui zao!!
Kwa hiyo usikariri mbinu za kivita kariri Quran tu basi!!
Mfano wa aljazeera ulikuwa wa mwisho kwenye kukazia. Nilikueleza mwanzo kuwa CNN na BBC haziruhusiwi. Lengo kukuonyesha kuwa hizo nchi zote hufanya hivyoHapa wewe napo uliandika nini? "Pia unapaswa kujua hata Iran waliipiga ban Al Jazeera kwa zaidi ya mwaka"
Naposema kiingereza ni pale kwenye neno "ban", wewe uliidogosha ban ndio maana nikakufafanulia tena nikiamini pengine hukunielewaHalafu hiyo post umeituma kwa kingereza au ..... wewe mwenyewe umepagawa?
Haya unayooandika mimi nilikupa mfano unahisi kwa nm cnn na BBC wamezuiliwa kufanya kazi Iran? Lengo lilikua ujue kile ambacho Israel wanazuia basi ndio hicho pia Iran inazuiaKwani kupigwa ban mbona vyombo vingi vinapigwa ban mimi? AL Jazeera kandolea kwa Myahudi,jengo lake la kurushia matangazo lilipiluliwa Palestina na walipewa dk 20 kuondoka, ila ukitizam intensity ya lile bomu kuna wandishi wengi walifukiwa na kifusi na hiyo olikuwa around 2020+.
Hoja nzuri, lakini pia US na Israel wamekutana kila mmoja akiwa na goals zake halafu wakajikuta njia ya kupita kufikia hizo goals ni moja, hivyo wanashirikiana. Na pia wakitimiza malengo hayo wote watakuwa katika nafasi nzuri sababu kila mmoja yupo vizuri tokana na ushirikiano wao wa ki uchumi, kijeshi na ki siasa.
Nikiwa na maana ya kwamba Israel akiwa vizuri kwenye nyanja zote, US hawezi hangaika kupoteza rasilimali zake ili kumsaidia.
Israel inataka sana ukiranja wa kikanda mashariki ya kati na nchi inayoinyima amani ni Iran, huku US akiwa na malengo zaidi ya ushindani wa kiuchumi. Na wote wanajikuta ili wafanikishe hayo ni kuivamia Iran kwa nguvu zao zote. Wote mchawi wao ni Iran, syndicate imesoma waivamie Iran.
Japo ni kweli US huwa anamsikiliza Israel, naamini US isingekuwa na maslahi yeyote ya kiuchumi kwa Iran, nadhani hata kama Israel ingepambana na Iran, US ingetoa msaada wa silaha na baadae kuwakalisha kusuluhisha na si kuingia mzima mzima kama hivi labda tu endapo ingeonekana Israel inapigwa imezidiwa.
Hivyo hawa jamaa wanachofanya ni uonevu, na China atakuwa mpuuzi akikaa kimya, Russia ndio kabisa wana akili za kutengeneza silaha na kupigana vita, lakini uwezo wa kiushawishi, siasa na hata utamaduni hao jamaa wana zero. Na hilo ndilo lilivunja USSR. Na hata leo hii wanazidiwa kete na EU na US.
Russia imesinzia, wakati wa USSR walipoteza wanasayansi vichwa, wakakimbilia
Ila we jamaa jitahidi utafute ufahamu una ushabiki wa kitoto sana nahisi utakua mwanafunzi wa secondaryIran na jeshi la maji wapi na wapi?
Iran kuimaliza ipigwe kwenye underground missiles zake...
Kupiga hayo mabati ni kujitekenya na kucheka mwenyewe...
Kupigwa ban zaidi ya mwaka na kuondolewa kabisa, wewe unaelewa nini?Mfano wa aljazeera ulikuwa wa mwisho kwenye kukazia. Nilikueleza mwanzo kuwa CNN na BBC haziruhusiwi. Lengo kukuonyesha kuwa hizo nchi zote hufanya hivyo
Naposema kiingereza ni pale kwenye neno "ban", wewe uliidogosha ban ndio maana nikakufafanulia tena nikiamini pengine hukunielewa
Haya unayooandika mimi nilikupa mfano unahisi kwa nm cnn na BBC wamezuiliwa kufanya kazi Iran? Lengo lilikua ujue kile ambacho Israel wanazuia basi ndio hicho pia Iran inazuia
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye vita vya Gaza Political-Mileage anayo na inazidi kupanda baada ya kumuua Gaidi Ayatollah Ali Khamenei,Rais mstaafu wa Iran na Makamanda waandamizi wa IRGC.Israel ilikuwa bado na uwezo wa kuokoa mateka na kuiharibu Gaza au kuua watu kwa kuendeleza vita. Na ingekuwa ushindi mkubwa kwao na ingeandaliwa documentary, movies na vitabu kama operation Entebbe.
Hio si mara ya kwanza intel yao kufeli.
Netanyahu alikuwa anahitaji sana mateka waokolewe kwa ajili ya kumpatia political mileage na kuonyesha dunia uwezo mkubwa wa jeshi la Israel. Kumbuka sera ya Israel ni kuto ku negotiate na terror group, na wao wanasema Hamas ni terror group, lakini ilibidi wayarudie matapishi, wakakubali mazungumzo na terror group na kukubali matakwa.
So stock ikiisha na kule hakujatengenezwa Iran atakaa Kwanza asipige asubirie nyengine sio? Na kama USA Ali expect Hilo alishindwa miezi ya nyuma Ku stock?Article ina predict stock ita run low in days or weeks. Hakuna cha ajabu kwasababu wako vitani na zinatumika kila siku. Sasa inakuwaje mshangae kuomba emergency budget wakati wako vitani? Yaani wewe unafikiri US army walikuwa hawajui kuwa interceptors zitahitaji kuongezwa?
Kwa hiyo kwa shambulio hilo mnatafuta watu wa kuwaonea huruma?🚨 EXPOSED: Who exactly was responsible for killing 171 schoolgirls in Minab?
On the morning of February 28, one of the first Israeli missile strikes hit an elementary school in Minab, Iran. 171 girls and 14 female teachers were killed.
Israel and the US want the world to look away. But one man owns this strike — IDF Chief of Staff, Gen. Eyal Zamir.
Here’s why he’s accountable:
🔴 Strikes abroad are approved by the General Staff — and the first waves are personally ordered by its Chief. That’s Zamir.
🔴 Target selection and timing are managed by the Operational Directorate, in lockstep with the Chief of Staff.
🔴 Zamir himself praised the "significant achievements" of the first day’s strikes. He knew exactly what — and who — was hit.
171 girls. He knew the death toll. And he called it an achievement.
Mkuu US vita anayokutana nayo ni ya aina mpya, vita ya Iran ni case study kwa US hivi sasa na Israel. Pamoja na mataifa ya EU.Article ina predict stock ita run low in days or weeks. Hakuna cha ajabu kwasababu wako vitani na zinatumika kila siku. Sasa inakuwaje mshangae kuomba emergency budget wakati wako vitani? Yaani wewe unafikiri US army walikuwa hawajui kuwa interceptors zitahitaji kuongezwa?
Vita siku zote ni mbaya maana inamgusa kila mtu lakini haimaanishi kuua watu ambao sio threat kwako.Kwa hiyo kwa shambulio hilo mnatafuta watu wa kuwaonea huruma?
Yaani kama nilivyowahi kusema. Ayatolah angekusoma angekupa binti yake. Sio kwa uzalendo huu. YOU RATE IRAN SO HIGHLY.Mkuu US vita anayokutana nayo ni ya aina mpya, vita ya Iran ni case study kwa US hivi sasa na Israel. Pamoja na mataifa ya EU.
Hata wewe leo hii unamiliki Range Rover, kesho ukiendeshai Lamborghini Urus kuna vingi utajifunza, kuna vingi utakosea na kujisahihisha na ushamba utakutoka.
Hio ndio maana ya modern warfare.
Iran inaibadilisha dunia sasa, 90% au zaidi ya silaha walizotumia hadi sasa ni missiles na drones tu, maana ya kuzuia hizo si kupeleka kifaru wala askari, ni kuzuia kwa kutumia vifaa vyenye teknolojia ya hali ya juu kama hizo PAC-3 na iron dome.
Hio si vita ya Afghanistan , Syria , Gaza ama Lebanon.
Hio ni vita ya aian yake. Hata Libya vita yao haikuwa hivi hapo 2010s...
Kwa hio tegemea US na Israel kuingia kwenye trap za hapa na pale, kutolewa kamasi, kukimbizwa mchaka mchaka na pengine kupigwa ngwara na kuanguka.
Alikubali mazungumzo sababu wale mateka wangekufa watu wasingetaka hata kumuona pale kitini, kwa lazima ikabidi akubali mazungumzo.Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye vita vya Gaza Political-Mileage anayo na inazidi kupanda baada ya kumuua Gaidi Ayatollah Ali Khamenei,Rais mstaafu wa Iran na Makamanda waandamizi wa IRGC.
Kuhusu mateka hao wote walikombolewa hivyo hapo hakuna cha kujadili
Ni ukweli, hata we tafakari, mtu yupo Tehran anabofya keyboard, missiles inakwenda hadi Tel Aviv... yule wa Tel Aviv nae anabofya button inatoka missile kuzuia missile ya Iran.Yaani kama nilivyowahi kusema. Ayatolah angekusoma angekupa binti yake. Sio kwa uzalendo huu. YOU RATE IRAN SO HIGHLY.