Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu hili swali mimi pia najiuliza kila siku ila sipati majibu kabisa labsa naweza kupata elimu kwako mkuu. Hivi wanawezaje kuwafyeka viongozi wa juu wa Maadui zao kwa kujua location na saa ambayo watakuwepo na kupanga mbinu zao jinsi ya kuwafyeka na wakawafyeka kweli hafu wanashindwa kujua mateka walipo kwa siku zote hizo? Mateka wengi hivyo tena sidhani kama wanaweza kuwa wako sehemu salama sana ya kiulinzi kulinganisha kama yule kiongozi wa Kobazi sijui Khemei ailefyekwa juzi. Nisaidie mkuu hili linakuwaje?
 
Kwa hiyo wewe sasa umeanza Propaganda maana hujasema chombo cha habari kipi.

Haya maneno ya kusema ** Kwa mjibu** ni uongo na kama una uhakika wa chombo hicho tuwekee hapa na sisi tukione kinyume chake utakuwa unatulisha Matango pori

Hakuna ugumu wowote kupata habari Israel habari zinatoka kama kawaida shida yenu mnataka Israel ipigwe na Iran anaposhindwa ninyi mnalazimisha amepigwe wakati hakupigwa na mko tayari kuokota za video za AI ili tu Israel aonekane amepigwa.

Mme set mind zenu Israel atapigwa nami nawaomba hapigwi mtu hapo Iran ndiyo anapigika sana, Mliaminishwa kuwa Israel hawezi kuivamia Iran haya sasa yametimia na kazi mnaiona Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hatuko naye!!! Tafuta I visingizio vingine kuficha aibu yenu!!
 
Iranian intelligence has sent word to the United States it could be prepared to open talks on how to end the war, according to people familiar with the indirect messages, but US officials say there are no negotiations underway and that potential “off-ramps” are unlikely to materialize in the near term.
 
Si ajabu wamechapika sana lkn hawataki Dunia ijue,yaani kwanini tujue yanayojiri ya upande mmoja!? Israel waache propaganda.
 
Uwezo hana?
Kupiga kambi za jeshi la US gulf states zote uwezo hana? are you serious?
Kwa hiyo wewe ulitaka asipige? Amerca alishafanya calculation ya vita na hilo la kupigwa kambi zake alilijua ila ubavu wa kupambana na Amerca hana na hii haichukui week mbili kama vita itaendelea utajionea mwenyewe, utakuja hapa kuanza kulialia pray for Iran. Hata gaza, Iraq, Libya na Syria ikuwa hivihivi. Nakuhakikishia pona ya utawaka wa Iran ni kukubaki mashart ya America ila wakishupaza shingo watamalizwa wote na itafika kipindi wataanza kukataa vyeo maana ukiteuliwa tu Israel wanakuweka kwenye target huku Amerca anadeal na miundombinu ya kijeshi bado raia wanamaisha magumu unategemea hawatakuwa against utawala?
 
Aisee kama Amerca wameanza kutumia bunker buster basi hii shughuli imeisha aitaisha sio muda maana silaha za Iran na viwanda vya kuzalishia vitaangamia.
Ndugu inabidi usome alama za nyakati. Kiuhalisia wapo wa Iran wengi sana wanaochukizwa na aina ya utawala uliopo na sheria zao ambapo kwa sasa wanafurahia mioyoni mwao na wapo ndani ya Iran na muda wote walikuwa wakisubiri mtetezi haijalishi atatokea wapi na dini ipi, ila kwa hali ilivyo hawawezi kujitojeza wazi wazi kufurahia maana hasira za vita zitamaliziwa kwao hivyo ni rahis kuona wanaosupport serikali kuingia mtaani kwa wakati huu kuliko wanaopinga.
 
Kuna wa Israel wa jf Sasa🚮,huwezi kuamini ni wale waliojificha ndani October 29,kuwa kimbia vijana Saba waliobeba miguu ya kuku🙌🙌,
Acha tutambe waisraeli wa jf, iran mmejiapiza kwa mda mrefu kuifuta Israel, nafasi yenu ni hii sasa ifuteni kwa mabomu, hatutaki vita iishe tuone nani mbabe, ila nimefurahi gaidi Ayatollah kuliwa kichwa
 
The general who betrayed the Iranian leader by revealing his exact location has repented. He took his own life on live broadcast. Sensitive video.
Your browser is not able to display this video.
 
Propagated news.
Wachana na propaganda,Iran officials walishasema wamewaachia autonomy jeshi hakuna CEASEFIRE.
Hata Ali Larijani alilikanusha hili.
 
Ripoti;
-Ms Warren "tumepokea fununu mashariki ya kati kiuhalisia hali ni mbaya sana kwa USA".
-Douglas Mcgregor former US navy "Katika vita hizi USA imeshapoteza mara ya kwanza tu vita kuanza".
-Trump aomba $ 58 billions kwaajili ya millitary build up ili kuendelea na vita mashariki ya kati.
-Pedro Sanchez waziri mkuu Spain " Tunachofahamu kiongozi ni kwaajili ya kuhudumia raia na kutatua shida za nchi husika,sio sawa kiongozi ashindwe kuongoza nchi yake huko na akajaa skendo zisizofaa aje ajihusishe na vita zisizo na manufaa na sisi tumsikilize,hilo hakuna. Tulishajifunza kutoka vita ya kidanganyifu na ya kipuuzi ya 2003. Hatutaruhusu litokee tena".
-Kurdish Iraq wanaonekana kudhibitiwa baada ya Iraq kuwapa onyo Kurdish state dhidi ya wapiganaji kuvuka mipaka.
-China yapeleka ndege 16 za silaha Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…