Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hormuz imefungwa, sasa imefungwaje kama Israel anatawala anga na bahari? Si umesikia Trump anasema atapeleka jeshi la maji kulinda meli zao zinazopita, IRGC wamemjibu awapeleke hao wanajeshi...
kujibu na kutenda ni vitu viwili tofauti, hao IRGC kila kitu wanajibu lakini kichapo wanakula kama kawaida.. sasa hivi wao wamebaki na vita ya maneno tuu
 
Hongera mkuu Kwa kuwatetea waajemi ingawa unajua kabisa wamezidiwa vibaya
 
Sasa kama wamepiga target muhimu kwa nini upoteze makombora bure.

Sasa hivi may be watakuwa wanapanga namna gani wapige route mpaka Tel Aviv kuchukua nchi
Na ndio kifuatacho. Hezbollah wameonekana wanajisogeza upande ule!

Kwasasa Iran inaangaika kukata kabisa uwezo wa Israel Angani kwa kuyaongezea kitu technology makombora kutoka kwenye ndege zao yanayotumika kupambana na ndege pinzani Angani. Daaaaaa

Soko la F-35+A oh B linaenga kuanguka Son,

Upande. Mwengine. Kwasasa Waisrael wamefunika panzia tusione kipigo!!

Tujiongeze tu kujua kuna kitu hakipo sawa!!

sawa na mgonjwa wako ukiona panzia imezungushwa jua mambo hayapo sawa!!!

kunakitu unafichwa usione kwa ule muda..
lkn Israel inapasuka vibaya sn.majuto mjuukuu

kile kibabu kimewaponza!!!

IRAN inaenda kushinda Vita.
 
Ukitoa missiles na drones muajemi hakuna sehemu ya kivita ni tishio, hata kuintercept makombora ni kazi... Yaani hana ndege, bunduki au submarine zozote zenye jina ambazo ni tishio na anataka usupa power pale middle East.... Pale middle East Israel ataendelea kusumbua sana na siku netanyahu akifariki basi magaidi wote hawataamini maana hana maongezi ye ni kipondo tu๐Ÿ˜Š namfananisha na babu yake daudi kwa kupenda vita na anaijulia... Hadi sasa taifa kama Iran lenye watu karibu milioni 70 wananyimwa usingizi na sio hao tu kuanzia Lebanon, gaza na Syria kote huko anajichapia tu kama threesome ๐Ÿคญ

Thank you for your attention to this matter๐Ÿค
 
Times of Israel reports.
-Hizbollah launched precision missiles toward Haifa most of them intercepted some resulted into significant damage.
-IDF faced repulsive force after moving into Lebanese Southern border. Three Merkava tanks were hit by Russian ATGMs.

Naona huyu Israel anakuja kudebwedeshwa soon.
 
Vita zina propaganda sana hizi kuliko uhalisia.

Mwisho wa vita ndio tutajua ukweli.
 
Hezbollah ipi Ile ya Naslah au hii ya sasa kibogoyo
 
Mkuu kwa nn mara zote kwenye kukosolewa raisi huwa unaamini sababu ni dini? Magufuli alikuwepo alikosolewa sana, unahisi nae alikosolewa sababu ya dini?
Mnaitia unyonge sana hii dini kiasi kwamba muda wote unahisi watu wanawachukia
Wakristo humu na kote hawakuwai kumkosoa magufuli...na mtu alikuwa akijaribu kumkosoa magufuli anaitwa sio mzalendo na kuambiwa atapotezwa..... Jiwe ndie aliyeharibu democrasia ya Nchi yetu hadi leo ,alikuwa ananunua wabunge wa Wapinzani kwa mabilioni,mambo yakutekana kaanza yeye na kundi lake, na usichokijua hata watu wanaotekwa leo ni kikundi cha jiwe bado kinaendeleza utekaji,Samia anapambana kutaka kukiangamiza Iko kikundi cha utekaji ambacho alikiacha Jiwe....lengo ni kumchfua Samia haonekane hafai, KEYTIMA nae ana kundi lake la utekaji kwa mlengo wa kidini.
 
JUST IN: ๐Ÿšจ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท

Israel and the US targeted Iran's naval base in Bandar Abbas, southern Iran.
 

Attachments

  • VID_20260305_095756_038.mp4
    1.1 MB
  • VID_20260305_095753_558.mp4
    417.4 KB
BREAKING: ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ

Pentagon has announced the deaths of 2 more US soldiers following the Iranian attack.

The total number of US service members killed has now risen to 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ